Nini maana yake?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
1,676
Ukimpeleka mwanamke hospitali kujifungua, kuna ambao wanaambiwa kuwa inabidi wapigwe bomba.

Hii kupigwa bomba ndiyo kitu gani tena??
 
Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,327
2,227
mh,ingekuwa bora ungeuliza uliposikia kama ni hospital as you said
 
NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,509
1,308
ukimpeleka mwanamke hospitali kujifungua, kuna ambao wanaambiwa kuwa inabidi wapigwe bomba.

Hii kupigwa bomba ndiyo kitu gani tena??

kitu chakawaida sana nikutoa uchafu , hata nyumbani waweza fanya kuna bomba zinauzwa phamacy unanunua weka maji uvuguvugu masafi unapiga bomba uchafu unatoka na wewe unajisikia fresh. Wazaire huwa wanaitumia sana kupambana na vitamabi . Niliwahi ongea na mzaire mmoja akasema kwao ni kitu cha daily or weekly ndio maana hawana matumbo, hasa wanaume
 
Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,288
17,724
Ukimpeleka mwanamke hospitali kujifungua, kuna ambao wanaambiwa kuwa inabidi wapigwe bomba.

Hii kupigwa bomba ndiyo kitu gani tena??

mkuu ulisikia wapi hii kitu? una first hand experience? ama ndo yale yale maongezi ya mtaani?

Mi nadhani atapigwa bomba kama unavosema kama njia ya kimatibabu...kusafisha utumbo mpana ile wanaita enema (google it), especially kwa mattaizo ya fistula nk wakati wa kumtibia....
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
1,676
mkuu ulisikia wapi hii kitu? una first hand experience? ama ndo yale yale maongezi ya mtaani?

Mi nadhani atapigwa bomba kama unavosema kama njia ya kimatibabu...kusafisha utumbo mpana ile wanaita enema (google it), especially kwa mattaizo ya fistula nk wakati wa kumtibia....

Naona wengi wamestuka ! hbii nimesikia hospital na si kwingineko
Ni kitu cha kweli wala si story ya mtaani
 
Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,264
190
Naona wengi wamestuka ! hbii nimesikia hospital na si kwingineko
Ni kitu cha kweli wala si story ya mtaani

watu wanaotoka kigoma ni jambo la kawaida sana hili wala si mwanamke au mwanaume, linasaidia kuondoa constipation
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
1,676
watu wanaotoka kigoma ni jambo la kawaida sana hili wala si mwanamke au mwanaume, linasaidia kuondoa constipation

Nimekupata mkuu
Maana sikuelewa kabisa
Nilibaki nimebung'aa na kutafakari hilo bomba ndo kitu gani tena
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom