Maoni: Tuanzishe JF dating

Mrdash1

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,375
336
Itakuwa vyema kama wana JF tutaanzisha dating hapa jukwaani, itasaidia watu kuelewana zaidi, wenye bahati zao wanaweza kujipatia wachumba. Ni maoni tu!
 
Mbona hili jukwaa la MMU, PM, na hata chat ilivyokuwepo ndo kazi yake? Unataka nini zaidi ya hayo?
 
Mbona hili jukwaa la MMU, PM, na hata chat ilivyokuwepo ndo kazi yake? Unataka nini zaidi ya hayo?


nathani anataka kuwe na jukwaa la watu ambao ni single au divorce ...
ambapo hao wajieleze na kutuma thread zao hapo...
kuliko kuweka kwenye jukwaa la mahusiano,mapenzi na urafiki...
kwa sababu kwenye hilo jukwaa ni maoni mchanganyiko...
kwa kweli mi na dhani maoni mazuri tu.....
 
Mimi nakuomba tukutane pale........kwenye ugali wa muhogo uliza jinalangu!
 
Kuna jamaa yangu akasemaga unajua unakuta mtu yuko single na anatafuta mwenza ila hakunaga forum za watu wa aina iyo.
Ni idea nzuri kuwe na kasehemu kaa aina iyo
 
Ni vizuri but huko mtu awe na id mpya ,maana mtu anasoma vigongo vyako hapa hadi anataka tapika leo eti unataka date mh
 
Back
Top Bottom