Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,182
- 408
Nipo kwenye daladala narudi nyumbani, ila yamezuka mabishano hapa kati ya akina dada(wanawake) na akina kaka(wanaume), kuwa ni nani apaswae kula paja la kuku iwapo kitoweo hicho kitapatikana nyumbani, wanaume walio wengi wanadai ni baba akati wanawake wanadai hiyo ilikuwa zamani,
naomba nililete na kwenu wakuu hii inakuwaje??
naomba nililete na kwenu wakuu hii inakuwaje??