Mtoto kafanana na rafiki yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto kafanana na rafiki yangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magoo, Sep 7, 2011.

 1. M

  Magoo JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 438
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ukishangaa ya Maksimo ya Paulsen yatakukuta...
  ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye wapangaji 4 wote wakiwa katika ndoa isipokuwa mimi. kuna rafiki yangu ambaye mara nyingi anafika kwangu hasa wkend na wakati mwingine analala kwangu... mmoja wa wapangaji wenzangu binti wa kichaga aishiye na mume wake mwenye uwezo mzuri tu kifedha alikuwa na mimba ambayo alijifungua wiki ya tatu sasa
  cha ajabu yule mtoto wa kiume kadri anavyokua ndivyo anavyozidi kufanana na huyu jamaa yangu kiasi kwamba naona mme halali akimwona jamaa anavyofanana na mtoto anaweza toa talaka.. jamaa nyangu nimemuuliza kuhusu hilo na akasema kweli aliwai kuduu na huyo mwanamke mara 1 hapo kwa mwanamke....
  [HR][/HR][HR][/HR] kuepusha balaa natamani kuama hapa coz huyu ni rafiki yangu ambaye kwangu ni lazima atakuwa anafika na inaweza kutokea jamaa akagundua hili ikaleta taabu katika ndoa yao daaah kizungumkuti...
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mara yule wa tigo kajifungua mtoto anafanana na rafikiyo?
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh teh...

  Heri yangu mimi wangu anafanana na mamake, mamangu, kachukua pua yangu, akili zangu, haiba ya mamake, na kadhalika.
   
 4. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Duu huo msala. Wahi kuhama kabla jamaa hajawamaliz wewe na rafiki yako.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  na rafikiyo hana wasiwasi anafika tu kwako kama kawa? ana roho ya chuma. endelea kuomba baba mtoto asishtuke
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kuepusha balaa na kulinda ndoa ya mtu mwepushe huyo rafiki yako kutua hapo.
   
 7. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #7
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 798
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  kuepusha ndoa na kosa la jinai litakalo tokeo HAMA IYO NYUMBA WEWE
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Msala huo....,
  hama nyumba hiyo
  jamaa yako kakuingiza matatizoni.. i tell you
   
 9. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,757
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Do you remember the adage goes"Show me your friend I will tell you who you are"?,hapo nawe huwezi epuka kikombe hicho lazima ukinywee!
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hata km mume hatamwona rafiki yako jua kabisa taarifa zitafikishwa na wapangaji wngne. suluhisho ni kuhama
   
 11. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #11
  Sep 7, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, ni vigumu sana kujua mtoto wa wiki tatu anafanana na nani.
  Ni mapema sana na unaweza kufanya makosa makubwa na kutenganisha ndoa za watu kwa maneno yako, naomba yaishie hapa hapa JF.

  Kumbuka umemuuliza huyo rafiki yako na kasema kua kado naye, bila shaka utakua umemweleza kua mtoto kafanana naye, Hivi siku akifika na kuanza kudai mtoto wake akiamini kua ku-do siku moja kumezaa matunda huoni wewe ndio utakua ni source ya matatizo?
  Vitu vingine sio vya kusema Mkuu, hasa ishu kama hizo.

  Samahani kama nitakukwaza, ni mawazo yangu hayo.
   
 12. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Jamani acheni kuleta kesi zinazowahusu nyinyi moja kwa moja kwa kuwasingizia wengine....! We umepanga mahali na wenzio wanne ukiwa bachalor mwenyewe, then unafanya vitu na wake wa wenzio, matokeo yanapotokea unakuja hapa JF kujidai unamuokoa rafiki yako, kumbe unatafuta handaki la kuzamia mwenyewe....! Hahahahaha....! Jamani watu mnachekesha....!
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Sep 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Umejuaje kama huu mkasa ni wake?
   
 14. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Message imefutwa na Likwanda.
   
 15. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu,

  huyo rafiki yako hasifike hapo watamDO na yy mara moja!
   
 16. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mkuu NN, ukijaribu kutafakari kwa mbaaali kidogo, utaona kwamba hata composition za familia za wapangaji (akiwemo yeye) inakupa picha fulani....!
  Hata huyo rafiki yake hakueleza urafiki wao ulianzia wapi hadi hapo wanapoelezana makubwa kama hayo...!
  Matembezi ya rafiki yake yalianza lini hadi rafiki yake ka-do na mpangaji mwenzake kwa mwanamke, huku yeye kama rafiki wa kweli bila kujua au kuhisi yanayoendelea hadi sasa....!
  .............................................................................
  ..............................................................................
  ...............................................................................
   
 17. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo ujue huyo mwanamke alikuwa anamchukia sana huyo rafiki yako wakati akiwa na mimba.
   
 18. m

  muhanga JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ni mapema sana kujua mtoto anafanana na nani hasa, wiki tatu nimapema mmno subirini tu hadi apate kimo kidogo ndio mtaujua ukweli, na pia hamuwezi jua ktk ukoo wa huyo mwanamke au mume wanafanana vipi. halafu hivi inawezekana kweli huyo rafiki akafanya ngono zembe na mke wa mtu kwa ck moja tu na kupata mimba??? sidhani kama ni wazembe kiasi hicho
   
 19. m

  muhanga JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  eeeh hiyo nayo imani ya kizamani kweli eti ukimchukia mtu unazaa naefanana nae???!!!! hainaukweli hiyo!
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  Ni wewe mwenyewe umezoea kudandia wake za wenzio, ngoja hapo hapo ili na wewe wakupe mimba kama ulivyomfanyia mwenzio.
   
Loading...