Hawa wa huku je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa wa huku je?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by G spanner, Sep 8, 2011.

1. G spanner

G spanner JF-Expert Member

#1
Sep 8, 2011
Joined: Mar 30, 2011
Messages: 426
Likes Received: 8
Trophy Points: 35
Wadau vp naomba kujua sifa za hawa wanawake wa mtwara wanafahamika vp kimapenzi?

2. Mghoshingwa

Mghoshingwa JF-Expert Member

#2
Sep 9, 2011
Joined: Jul 9, 2011
Messages: 305
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
We subiri tu, wanakuja wataalam kukueleza vizuri!

3. G spanner

G spanner JF-Expert Member

#3
Sep 10, 2011
Joined: Mar 30, 2011
Messages: 426
Likes Received: 8
Trophy Points: 35
Any idea abt them plz!

4. Mwadui

Mwadui Senior Member

#4
Sep 10, 2011
Joined: Dec 17, 2010
Messages: 102
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
nasikia ni mahodari wa kukatika kiuno

5. T

Tofty JF-Expert Member

#5
Sep 10, 2011
Joined: Nov 6, 2008
Messages: 206
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
ukitaka kujua uhondo wa ngoma, ingia ucheze!

6. M

Magoo JF-Expert Member

#6
Sep 10, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 438
Likes Received: 12
Trophy Points: 35
mzee tabia ni m2 si kabila

7. kinyoba

kinyoba JF-Expert Member

#7
Sep 10, 2011
Joined: Jun 2, 2011
Messages: 1,238
Likes Received: 185
Trophy Points: 160
naskia kabla game halijanza anakufunga kanga kiunoni ili kuwaunganisha vizuri ili mtakapoanza mambo ya tywanga pepeta asikudondoshe chini! maana naskia unaweza kurushwa juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hadi ukafanikiwa kutema mate dirishani huku game linaendelea! lol!!

8. Rutashubanyuma

Rutashubanyuma JF-Expert Member

#8
Sep 10, 2011
Joined: Sep 24, 2010
Messages: 158,613
Likes Received: 419,785
Trophy Points: 280
women will always be women................just like men will always be men..........................hivi kwanini unatarajia watofautiane na wengineo.........just by the strength of vernacular differentiation; you hold a forlorn hope, may upstage bed performances...........

9. Rutashubanyuma

Rutashubanyuma JF-Expert Member

#9
Sep 10, 2011
Joined: Sep 24, 2010
Messages: 158,613
Likes Received: 419,785
Trophy Points: 280

women will always be women................just like men will always be men..........................hivi kwanini unatarajia watofautiane na wengineo.........just by the strength of vernacular differentiation...........................you cherish a forlorn hope that alone may upstage bed performances...........

10. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#10
Sep 10, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Unaweza urushwe juuu na upokekewe kwenye kiuno style mapenzi najuta kumjua mmojawao ni miongoni mwa wa wanawake ambao wanatongozeka kirahisi sana!

11. Perry

Perry JF-Expert Member

#11
Sep 10, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,029
Likes Received: 864
Trophy Points: 280

duh!!umeyajuaje yote hayo mkuu?

12. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#12
Sep 10, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Siku hizi hakuna cha kabila kila mtu kazibuka kivyake, usishangae kuona wa mwisho anakuwa wa kwanza na wa kwanza kuwa wa mwisho, angalia kama mnapendana kwa dhati hiyo tu inatosha

13. jacjaz

jacjaz JF-Expert Member

#13
Sep 10, 2011
Joined: Sep 7, 2011
Messages: 401
Likes Received: 49
Trophy Points: 45
Ni wanawake wasio na wivu wa kimapenzi,kwao kuwa nae na rafiki yake ni sawa tu ilimradi yeye kapata pia.....Kitandani ni kama wengine tu,suala hapo ni kufundishwa hayo mambo! hata wahehe mauno wanakata...

14. Shine

Shine JF-Expert Member

#14
Sep 10, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

du hiyo sifa too much

15. Shine

Shine JF-Expert Member

#15
Sep 10, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

Kuna wengine hawana juhudi zozote za kukuruka kwenye 6x6

16. Shine

Shine JF-Expert Member

#16
Sep 10, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
No coment

17. M

Mapujds JF-Expert Member

#17
Sep 10, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Kazi kwelikweli,mbona wangu hayuko hivyo?

Loading...