KANCHI
JF-Expert Member
- Sep 3, 2011
- 1,533
- 230
Jamani wana jf hii nataka kuwamegea washikaji kuna binti nilikutana naye SGD kitambo kidogo nilimpenda sana nilimfaham kwa jina moja 2 la REHEMA lakin ghafla akaondoka kwenda dom nilimtafuta bila mafanikio wajamen nimekata tamaa mwenzenu, namba ya cmu alishabadili niliyokuwanayo.NIfanyeje?