Palloma
Member
- Apr 8, 2008
- 8
- 0
Wajameni naombeni msaada wenu wana JF!!!
Mimi na mume wangu tumeishi vizuri tu kwa muda mrefu mpaka pale alipofanyiwa surgery kubwa ya tumbo mambo yakaanza kuchange. Ingawa alichukuwa muda mfupi kupona lkn alizidi kusumbuliwa na high BP. Kwake ikawa ndio excuse ya kutofanya tendo la ndoa kwa kautaratibu tulikojiwekea.
SAKATA LENYEWE NI HIVI:
Juzi nilipata safari ya peke yangu! Niliporudi nilimkuta NO! niliwafumania mume huyo chumbani kwetu akiwa na mwanamke kitandani kwetu...(you know what they were doing)!!!
Ni kama nilipatwa na shoti ya umeme kwa dakika kadhaa...nilichoweza kufanya ni kutoa simu yangu ya kiganjani na kuwapiga picha kadhaa. Nikaondoka kabisa maeneo yale na kwa kweli mpaka sasa ninalala kwa ndugu zangu!
Sijui nitaanzaje kulala tena ktk kile kitanda chetu na nihisi raha kama zamani!
Huwa ninaenda kuchukua vifaa ninavyohitaji, na nilimuuliza kwa nini anafanya vile, anajibu oo eti bahati mbaya shetani kanipitia!!! kakupitia in our bed!!!
Wana JF, uamuzi ninaoona unafaa ni kumtaliki, kwa sababu amekuwa akinidangaya kwa kisingizio kuwa eti ana presha!
Lkn kabla sijachukua hatua hii nimeona bora nipate ushauri wenu!
Please!!!