Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,223
Nimetendwa sana na nimezoea sasa hivi,hata nikipenda yaani nachukulia kawaida,hata akinitenda poa tu wala siumii,aniache asiniache ni poa tu.
Yaani sifeel kuwa ni special kwangu,namchukulia kawaida sana.
Nifanyaje maana nitakuwa naumiza pale mtu anaponipenda sasa hivi kumbe hajui mi namchukulia poa tu.