Mila na desturi zetu zinatufundisha au kutuelekeza kwamba jinsia zetu zinasema pia kuhusu thamani zetu. Tumeambiwa na kwa kiasi kikubwa tunaamini kwamba wanawake ni dhaifu kwa wanaume.
Neno...
Jamani huu mwimbo nimeupenda sana una mafundisho flani juu ya mapenzi embu sikilizeni na nyie
Lady Jay Dee Ft: Mr. Blue - Wangu (www.bongostarlink.com) - YouTube
Kijana wangu wa karibu kaniomba ushauri.Yeye anaishi Dar na kapata mpenzi anayeishi na kufanya kazi Mtwara. Anasema anampenda sana na Inshallah wakijaliwa angependa amuoe.Tatizo nii hii distance...
Jaman,kukupenda kote na umaskini na shida ulizonazo,nikagombana na ndugu zangu,nikavumilia yote,2kashiriki kwenye furaha.wote waliamini tunapendana tho sikuwah kukuamin lakin nilikpenda kweli.leo...
Kila mtu ana kumbukumbu ya mahali au mazingira yaliyomkutanisha na mwandani/honey/mahabuba/mpenzi n.k wake wa sasa., mfano mie nakumbuka kilichotuunganisha ni "madesa" kwa wale waliopitia...
Kama kubaka ni hali ya mwanaume au mwanamke kulazimisha kufanya tendo la ndoa bila hiyari ya mwingine, basi wanawake wengi sana walioko kwenye ndoa hubakwa na waume zao kila siku. Kubakwa huku...
Tabia ya wewe unapokua faragha na mwenzi wako.. either mmepumzika chumbani....mmetoka out. may be fo lunch... au matembezi tu ya kawaida.. Alafu wewe watumia muda huo kuanza leta habari za Bosi...
Nimpe?
Je, ni muhimu wanandoa kusalimiana mnapoamka asubuhi?Kwanza fahamu kwamba wanandoa wanapokaa muda mrefu baadhi ya vitu huanza kuchakaa kimapenzi. Hata hivyo upendo na wema husaidia...
Sunday, August 21, 2011Usijaribu!
SWALI:Hello mimi ni dada ninayeishi Iringa nina umri wa miaka 18 kwa bahati mbaya mpenzi wangu amenipa mimba na kutokana namna alivyo baba yangu Naamini...
Wapendwa wana Jamii Forum naombeni msaada wenu kuhusu huyu baba yangu mzazi.
Kwa kifupi mimi ni mtoto wa nje ya ndoa ninatambulika kwenye familia na kwenye ukoo ninashirikishwa kwenye kila kitu...
Ayubu alishauriwa na mkewe amkufuru Mungu Ayubu akakataa. Ayubu akajazwa mali mara dufu.
Lutu alishauriwa na mkewe ageuke nyuma aangalie Sodoma na Gomora, Lutu akakataa mkewe akageuzwa kuwa jiwe...
Usijidanganye!
Sex ni issue inayosumbua sana wanaume na wanawake katika ndoa.Mwanamke katika ndoa huhitaji intimacy & affection ili ajihusishe na tendo la ndoa wakati mwanaume anahitaji tendo la...
Hamjambo wana jamvi. Mwenzenu namwachia mama mkwe nyumba aishi na mwanae. Ni wiki ya 3 haongei na mimi anapika kwake. Kibaya alichemsha mitishamba ninywe na house girl hakutoa maelezo tukagoma...
Wapwaz na Binamuzi wote.
Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya...
Ukweli wao!
Mshauri maarufu wa masuala ya ndoa M. Gary Neuman alifanya Utafiti kwa kuwauliza wanaume 200 ambao kati yao walishachepuka nje ya ndoa zao na wengine walikuwa hawajawahi kuchepuka...
Jamani majumbani kuna vituko msione watu wanapita wanacheka mkaona moyoni ni hivyihivyo.!! Rafiki yangu mpendwa ambaye anahali ya ulokole fulani hivi kapewa Live na Mkewe kuwa inabidi wasitishe...
Leo nimepigiwa simu na kaka yangu. Mazungumzo yetu yalikuwa kama hivi:
Bro: Hello Mambo vipi?
Mimi: Poa tu
Bro: Hapo nyumbani hawajambo?
Mimi: Tunamshukuru Mungu sisi wazima
Bro: Mnaendeleaje...
Natumaini hamjambo wote ...
Wanaume sana sana Vijana
naombeni sana jamani muanze kuvuta suruali zenu juu
au kama mmeamua kulegeza au kuto kufunga mikanda
vaeni Boxes , sagz au Briefs.. ...
WanaJF wenzangu hebu kumbuka zamani zile ndo ilivyokuwa siku ya kwanza kabisa kujisajiri kwenye ulimwengu wa malavidavi ilikuwaje mara baada tu ya kubarehe.Je uliyempa malavidavi hayo kwa mara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.