Tuite boshen au?

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
320
Points
225

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2011
320 225
Sasaiv kamezuka kamtindo eti pale unapomtongoza dem au unataka awe mpenz wako,then unamuuliza ka ana boy anakwambia yupo na tena anasoma nje ya nchi huko U.K. au marekani,then unafanya upelelez unagundua kua ana boy ndio but hayupo mton wala nin! Au some time anaweza kukwambia eti ndio nlikuwa na men but nimeachana nae juz na wala cmtak,yaan uongo uongo 2 ! Ma baby hii imekaaje jaman?
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
P Mahusiano, mapenzi, urafiki 8

Forum statistics

Threads 1,391,498
Members 528,416
Posts 34,082,840
Top