simuelewi mpenz wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

simuelewi mpenz wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nzenzu, Sep 9, 2011.

1. Nzenzu

Nzenzu JF-Expert Member

#1
Sep 9, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 859
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
habari,naomba ushauri wenu jaman,npo mapenzini mwaka sasa lkn nashndwa kumsoma mwenzangu,nisipomtafuta bac wiki litapita hajantafuta na akijitahd cku nne,nikimwandikia sms hajbu akjtahd short answers and hatumii sweet words kuniita and sometimes nahis hanipend japo nikimuuliza anadai ananipenda!simuelew na nashndwa kumzoea!

2. Shark

Shark JF-Expert Member

#2
Sep 9, 2011
Joined: Jan 25, 2010
Messages: 20,059
Likes Received: 7,275
Trophy Points: 280
Muwe mnaweka na Jinsia zenu mnapoomba ushauri,
Ushauri hua unategemea kama wewe ni wa jinsia ya -me au -ke,
Mathalani kama wewe ni -ke naweza kukuambia tutafutane faragha face 2 face ili tuangalie cha kufanya juu huyo jamaa yako,
But kama wewe ni -me bana shauri lako, utajua mwenyewe jinsi ya kupigania uhusiano wako

3. lutamyo

lutamyo JF-Expert Member

#3
Sep 9, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 633
Likes Received: 37
Trophy Points: 45
Kagundua unatumiwa na magamba labda............................. mkuu inawezekana hauko makini sana

4. Nzenzu

Nzenzu JF-Expert Member

#4
Sep 9, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 859
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

kwangu m yeye ndo kila kitu na sjawah penda kama iv! I can say he z the love of ma life

5. T

Tata JF-Expert Member

#5
Sep 9, 2011
Joined: Dec 3, 2009
Messages: 4,729
Likes Received: 645
Trophy Points: 280
Niliposoma tu thread yako nilihisi tu kuwa wewe ni she pamoja na kuwa hukutaja jinsia yako.

6. Mamzalendo

Mamzalendo JF-Expert Member

#6
Sep 9, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 1,664
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
Hakupendi ndugu yangu

7. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#7
Sep 9, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180
Nzenzu nafikiri unajua nini kinaendelea na umetoa hio post kupata unafuu wa kutoa likuumizalo... Pole saana... But you and i know kua huyo ni ex tayari hila tu hamjasaini doc... kuashiria mkataba umeisha....

8. Matola

Matola JF-Expert Member

#8
Sep 9, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,261
Trophy Points: 280
I beg to differ na mtazamo wako,...... ndio maana nasisitiza kila siku kumdhibiti mwanaume ni kazi rahisi na ndogo sana lakini ni lazima ujuwe weakness za wanaume wengi ni nini!
Through my experience unaweza kukuta huyo jamaa yake alikuwa kwenye mahusiano kabla ya kuwa nae na yamemgharimu sana, sasa mtu wa namna hiyo inahitaji ufundi kumuhandle na kumsahaulisha yaliopita, pili financial status, wanaume tulio wengi kama ukiwa kwenye kipindi cha financial arassment basi hata maswala ya mapenzi hayawi priolity kwa mwanaume.

Kuna kitu kingine kidogo sana wanawake mmeshindwa hata kujifunza, hivi nyinyi bado hamjajuwa kwamba wanaume tunapenda kufanyiwa scrub na wanawake? pamoja na masaji? hivi vitu ukijifunza na ukanunuwa mafuta yote yanayoitajika huoni ni moja ya njia nzuri ya kumkamata mwanaume? wale wadada wanaotufanyia scrub huwa tunawapa tip mpaka ya 10,000= wakati huduma ya kunyoa na scrub unakuwa umeshalipia pembeni, na ndio maana salon ya kiume sasa hivi bila kuwaweka wale kina dada wa scrub inakuwa haina mvuto.
Sasa kazi kwenu nimewapa hiyo tip ndogo tu jifunzeni halafu muwafanyie wenza wenu muone uchawi huu wa ajabu unavyofanya kazi.

9. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#9
Sep 9, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,506
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
advise is what we ask for when we know exactly what we should do bt we dont want to

10. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#10
Sep 9, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180

Hayo mambo ulotaja hapo juu... ni rahisi saana kufanya hasa kama unapenda... na ndio maana it is advisable mwanamke ahakikishe anampenda mumewe (hata mume apende mkewe ndio... ila kuna utofauti for utendaji wa mwanaume kumridhisha mkewe ni directly physically na materially pia) whereas naamini upande wa mwanamke ni more kusukumwa na Love... Kama humpendi mume huwezi fanya hayo ya hapo juu.... But if you Love Matola We do more than that... hayo ulotaja yoote ni kweli if you want to keep your man and many mo'....

Back to the topic at hand... Waweza kuta huyo dada alikua anapoteza tu mda... na kampata choice yake... Sio kwamba kila mwanamke mwenye mwanaume wake anakua kafika hapo... saa ingine ni njia tu bado hajapata destination...

11. Nzenzu

Nzenzu JF-Expert Member

#11
Sep 9, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 859
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

inakuwaje kama uko mbali naye na unajaribu kumuweka karibu but reaction yake ndo ileile

12. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#12
Sep 9, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
huna chako hapo...................FULL STOP.

13. Matola

Matola JF-Expert Member

#13
Sep 9, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,261
Trophy Points: 280
Naomba kujuwa umri wako na wa huyo mwenzako, maana tusigeneralise mambo bure.

14. afrodenzi

afrodenzi Platinum Member

#14
Sep 9, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 18,135
Likes Received: 2,398
Trophy Points: 280
Hivi text ndo njia tu ya kuwasiliana na mpenzio?

yaonekana hata we huna mwelekeo..

Kama kawa nampenda lakini ni maneno tu...

Em sema nini kungine umefanya fanya cha kuonyesha unampenda..
Ukiacha hizo text ..

15. ENZO

ENZO JF-Expert Member

#15
Sep 9, 2011
Joined: Sep 30, 2010
Messages: 4,057
Likes Received: 552
Trophy Points: 280
vile vinahii vy senks mbona huku cvioni nikugongee mkuu!

16. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#16
Sep 9, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280
Ni kweli hakupendi.

17. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#17
Sep 9, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

mkwe nani kakufundisha hiyo?

18. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#18
Sep 9, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

khaaa!

19. Nzenzu

Nzenzu JF-Expert Member

#19
Sep 9, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 859
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

sio text tu,call ndo sana na sometimes hata kwenda kumwona na kumuuliza kulikon na mambo mengi,but akiwa na mm sioni dalili zozote za kutonipenda au kuwa na msichana mwingine!

20. Nzenzu

Nzenzu JF-Expert Member

#20
Sep 9, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 859
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

25 kwa 20

Loading...