Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimesoma mahali fulani mama mmoja baada ya kuolewa siku moja akakuta barua na nyaraka mbalimbali zote zimebadilishwa kuwa Mrs. Rose Pesambili - Pesambili likiwa jina la ubin la mume wake. Mume...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Lost is our freedom When we submit to women so: Why do we need 'em, When their best they work our woe? There is no wisdom--Thomas Campion
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanachama sasa tuanze kuandika ujumbe wa mapenzi ambao unakuvutia na ungependa kushirikiana na wenzako popote pale wanaposoma jukwaa hili karibuni sana
0 Reactions
46 Replies
134K Views
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Wanajamvi vp leo mtakuwa wapi na wapenzi wenu?mintakuwa club lips mwanza na my wife to be what about you?
1 Reactions
0 Replies
796 Views
Nimekutana na matukio ya baadhi ya wajukuu zangu ambayo yameniacha hoi, Kwa wale walio kwenye mahusiano ya kimapenzi (bila kujali strength ya bond), ni taarifa kiasi gani anatakiwa kupewe wa...
5 Reactions
94 Replies
6K Views
Every person without any exception thirsts for happiness. But he does not know how and where he can attain it. Invariably he searches for it by acquiring wealth, status, position, name, fame, etc...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wana jf! Kuna uhusiano wowote katika suala zima la kuoa na suala zima la hali ya muoaji ya kiuchumi?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana jf! Najua mtakuwa mshawahi kusikia au kuona wanandoa au wapenzi wakiamua kupeana mapumziko kidogo baada ya kuanza kuhisi hali ya kuchokana inayotokana na kushuka kwa hisia za mapenzi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kama kawaida wana jf mimi ni a boy and am lookng 4 a girl to who i will share my views of life spheres!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hi out there, salam salamWote tunajua, ila natia msisitizo na kukumbushana, hata (m)wanawake wanajua sana tu, wanapotembea au kupishana na wanaume au awapite (m)wanaume, huangaliwa kwa nyuma...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Watu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja. Wapo ambao hujiuliza inakuwaje wapenzi wawili waliokuwa wanapendana na kuwa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu ukiangalia harusi za siku hizi nyingi utakuta wasimamizi wa harusi sio mke na mume sasa ukifika wakati wa kufungua mziki unashtukia bestman mkewe huyu hapa kaja kuchukua mumewe na matroni na...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Hivi inakuingia akilini??kuwa hapa JF utapata kimwana waliopata ni wale wenye bahati zao hapa yeyote mwenye account hapa siwakushobokea atakutoa kamasi!
0 Reactions
35 Replies
3K Views
mapenzi ni kitu kilichopo toka enz, sasa ndugu zanguni....,tuliopo kwenye mapenzi na tuliokuwepo kwenye mapenzi....ulishawah au umewahi kumpenda mtu bila kuweka neno tatizo au neno ila katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ebu twambiane mwana JF mwenzangu mimi katika swala la mahusiano mimi hupenda vitu hi hapa:- >Demu Bomba ambae nikitoka naye sijihisi kuwa na mapungufu! >Demu muelewa asiyetaka kunitawala mawazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ninavyoelewa kaka yake mama ni mjomba wangu na dada yake baba ni shangazi yangu.swali, mke wa mjomba wangu nimwite nani na mume wa shangazi nimwite nani? kwani jamii zingine wanamwita mkaza...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
WanaJF, Ni jambo lililo ndani ya mila nyingi hapa duniani kwa mwanamke ku-acquire surname ya mume wake baada ya kuoelewa. Asili ya jambo hili siifahamu, ila kuna jambo ambalo nimeanza kuliona au...
0 Reactions
88 Replies
13K Views
Waheshimiwa mim mwenzenu sina hisia na jambo la mapenzi kwan walionitenda tayari wanatosha...siju wadau mnasemaje je mpo kama mmau
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu naomba kuwakilisha,kama mwezi umepita mtaa jirani na nnao ishi kilitokea tukio la kusikitishaa kama sio kufedhehesha.kuna jamaa aliamia na mchumba wake kama mienzi miwilii hivi.mwanamke wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom