Sikupanga kuwa na mtoto... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikupanga kuwa na mtoto...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, Sep 8, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hi guys!!
  Hope wote mko pouwaaa!!

  Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
  Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.

  Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
  Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
   
 2. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  I agree 100%.

  Ktk wanyama aloumba Mungu ni binadamu na pomboo (dolphin) pekee hujamiana for reproduction na pleasure.
  Wakati lengo la awali la wanaojamiana lawezakuwa just for pleasure mimba inaweza kutokea/kupatikana hivyo uamuzi inakuwa tutunze mtoto azaliwe au la!
  Mkiamua kutunza mimba inamaanisha mmepanga kuzaa hivyo hatazaliwa kwa bahati mbaya.

  Ukileta na mambo ya imani ndo kabisaaa wao wanasema hakuna mimba ya bahati mbaya achilia mbali kusema mtoto wa bahati mbaya.

  Mtazamo wangu tu...........
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mimi naamini kwamba mtoto anayepatikana bila kupanga, ni yule tu anayetokana na tendo la kubakwa. Lakini ile ya watu wawili kuafiki kubanjuana, matokeo yoyote hapo yanakuwa yamepangwa na wahusika.
   
 4. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lizzy bana.. haya kua uyaone!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  watoto ni baraka....full stop....

  but binadamu tulivyo sio baraka zote tunazipokea kwa mikono miwili
   
 6. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimewahi kusikia habari ya kuwa "Mtoto yule ni kharamu". Ikoje hii kitu....!!!!?
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa mbona umeishia kwenye kua uyaone bibie...?!Sema tuyaone manini!!
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hivi ndio baadhi ya vitu ambavyo sometimes vinanifanya nichukie dini. Mtoto hawezi kua haramu kwasababu sio aliyechagua azaliwe bila/kabla au nje ya ndoa!!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Hata wanaobakwa na kupata mimba sio wote wanazaa hivyo bado mtoto anakua AMEPANGWA!!
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Lizzy dear it is not that simple… Hapo in red.... Mimba ndio hasa mtoto mwenyewe to be… huwezi sema kua mimba unakua hujapanga lakini mtoto atakae zaliwa kapangwa… Ni muhimu mno kujipanga kwanza kabla ya kuamua kuzaa for the betterment ya mtoto – ili kuhakikisha huyo mtoto waweza mtunza… Sio lazima uwe na ule uwezoo, but walau maisha ya kusema waendesha maisha…. Hivo kuna watotot ambao kweli kabisa anapatikana na hakupangwa…

  Justification hio in blue peke yake haitoshi… ndio maana kuna watu weeengi sana wanatoa mimba… whether it is right or wrong wahusika ndiio wanatambua… Kitu tu ambacho nimegundua from experience ni kwamba waweza kua na mimba na hukupanga, but kuzaa Yule mtoto no matter the circumstances is the best thing ever! Watoto wana raha yake mno…
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Ufukara tu mkuu ndio unasababisha haya, lakini hakuna kitu cha furaha maishani kama kuwa na watoto angalau wawili.
  That's is your own generation you create. am very proud of it.
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  halafu wenye tabia hizi wengi ma sista duu wanjifanya kina jlo au kim kardashians lakini shudu tupu..
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  What is dini? seek straight relationship with God without depending this bore ring preachers, all of them are lies & just looking for our money through Sadaka & dhaka. Period.
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Binadamu unaweza sema sikupanga kuwa na mtoto.
  Haijalishi utajitetea namna gani,lakini huyo ni wewe.

  On the other hand,Mungu hayuko na hajawahi kuwa "sapraizid" na ujio wa mtoto duniani.
  unaweza kushituka kuwa na mimba,lakini Mungu hajawahi kushituka "haaa,amepata mimba?"

  Haijalishi umebakwa,au nini lakini huyo mtoto atakae tokea hapo
  amepangwa na amekuja duniani kwa lengo moja tu,kumtumikia Mungu.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Clemmy unaweza jibu upya bila kutumia dini (only if you don't mind)... yaani kwa kuangalia maisha yenyewe (thou ndio maisha bila Mungu haiwezekani)
   
 16. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni rahisi sana kusema kinadharia.. Ila yakikufika utaelewa vyema nini tofauti kati ya nadharia na vitendo.. Ni hayo tu sina zaidi. Da Asha kafafanua vizuri kwenye post yake hapo juu..
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Heading ya sred imenishtua kweli! bado kidogo nikwambie ulejeshe mahari yangu.

  Bek to ze topik: nitakomenti baadae, mida hii siko serious kabisa yaani na stopenda kuchakachua sred ya mchumbaangu.
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haha,ashaDii asante kwa kunipa option.
  Ila out of faith sioni jibu,simaanishi wanaopata watoto "bila kupanga"
  nawahukumu,...infact sikupanga kupata mtoto,...ila haimaanishi kwamba
  aliye nipa huyo mtoto hakupanga kumleta duniani kupitia kwangu na
  kwa mda uleule niliokua nafanya dhambi.

  Sorry for disappointing you sister.
  But it all begin with God.
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  You have not dissapointed me... Your answer is ideal.... Thank you.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  That‘s my kinda thinking...
   
Loading...