Naitaji girlfriend mwaminifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naitaji girlfriend mwaminifu

Discussion in 'Love Connect' started by Parata, Sep 11, 2011.

1. Parata

Parata JF-Expert Member

#1
Sep 11, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 3,119
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Najua wapo weng watajiuliza maswal meng sana ila ni kwel kwamba natafuta msichana ambaye baadaye atakuwa mke wangu,
vigezo
umri:asizidi miaka 23
awe tayar kupima ukimwi
asiwe mref wala mfupi sana
awe amesoma kuanzia form six na kuendelea
aliye tayar
email:samrich.youngboy20@gmail.com
WAHI NAFASI NI MOJA TU

2. Mtalingolo

Mtalingolo JF-Expert Member

#2
Sep 11, 2011
Joined: Aug 4, 2011
Messages: 2,188
Likes Received: 16
Trophy Points: 135
1. Umri hapo nadhani humu unaeza kupata mmoja au wawili coz weng ni wakubwa sana labda 25 kuendele.
2. Elimu inaanzia chekechea mkuu, hakuna alieanzia form six
3. Umetaja vigezo unavovitaka lakini hujataja sifa zako binafsi..

FUNGUKA

3. k

kisukari JF-Expert Member

#3
Sep 11, 2011
Joined: Jul 16, 2010
Messages: 3,766
Likes Received: 1,055
Trophy Points: 280
good luck,lakini na wewe ungemwaga cv zako ingependeza zaidi

4. Speaker

Speaker JF-Expert Member

#4
Sep 11, 2011
Joined: Aug 12, 2010
Messages: 6,357
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Good for you.
they say,
You have done your part,but i don't think this will work.
Am just a human being,that is my thought.
Best of Luck

5. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#5
Sep 11, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 592
Trophy Points: 280
Kila la heri kaka.

6. Mtalingolo

Mtalingolo JF-Expert Member

#6
Sep 11, 2011
Joined: Aug 4, 2011
Messages: 2,188
Likes Received: 16
Trophy Points: 135

Mpe hata maneno matamu mwenzio yakumfariji ktk takwa/hitaji lake.

7. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#7
Sep 11, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,186
Likes Received: 570
Trophy Points: 280
Mwaga cv yako watakujaje wakati hawakujui

8. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#8
Sep 11, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 738
Trophy Points: 280
Mawindo mema mkuu...ukifanikiwa usisahau kuja kutujulisha.

9. figganigga

figganigga JF-Expert Member

#9
Sep 11, 2011
Joined: Oct 17, 2010
Messages: 14,981
Likes Received: 6,632
Trophy Points: 280
siku hizi tuna taka wake wa kuoa tu.kuchezeana hapana.
je wewe mwaminifu?mia

10. The Son of Man

The Son of Man JF-Expert Member

#10
Sep 11, 2011
Joined: Feb 9, 2010
Messages: 12,124
Likes Received: 1,710
Trophy Points: 280
Mafanikio mema!

11. chapaa

chapaa JF-Expert Member

#11
Sep 11, 2011
Joined: Feb 19, 2008
Messages: 2,355
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Duuh! kijana umenifurahisha sana "WAHI NAFASI NI MOJA TU"
kila la kheri ndg

12. Nailyne

Nailyne JF-Expert Member

#12
Sep 11, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 350
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
weka cv yako na wewe, bt acha kujifungia go out, meet people around, jichanganye na marafiki zako,tembelea family members wako, etc

13. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#13
Sep 11, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 592
Trophy Points: 280

yaani leo maneno matamu yameisha kabisa. Dah! Nitampa kesho.

14. Mtalingolo

Mtalingolo JF-Expert Member

#14
Sep 11, 2011
Joined: Aug 4, 2011
Messages: 2,188
Likes Received: 16
Trophy Points: 135

duuh kijana asije akakata tamaa ya mke...

15. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#15
Sep 11, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 592
Trophy Points: 280

kijana mchumba kashapata. Ngoja nianze kutengeneza apitaiti ya pilau la harusi.

16. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#16
Sep 11, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,710
Likes Received: 49
Trophy Points: 135
Nani bihalusi? mbona mimi ninaeregister ndoa za JF sijapatiwa habali?

17. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#17
Sep 11, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 592
Trophy Points: 280

utajibeba! Bi harusi akikosekana itabidi niokoe jahazi. Lol.

18. ndyoko

ndyoko JF-Expert Member

#18
Sep 11, 2011
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 4,974
Likes Received: 279
Trophy Points: 180
Mkuu huu ni wakati wa uwazi na ukweli. Umetoa vigezo vya unayemhitaji, tuambie na wewe tujue wajihi wako. Umeenda suna au lah, wewe ni mlevi au, unajua kupenda wewe? 'Uwezo' wako ukoje? n.k.

Yaani kuzurura kwako kote huku umekosa mpaka utafute mke kwa style hii?

Note kwa wadada!
Msikubali kuolewa kwa style hii, siku ukimtibua huyo jamaa akikwambia kuwa wewe ni 'public' woman utakataa? Maana utakuwa umepatikana kimnada mnada! teteteteteeeeeeeeee! ni mtazamo tu wanajf!

19. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#19
Sep 11, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,710
Likes Received: 49
Trophy Points: 135
huku kwangu pia kakosekana njoo uokoe aisee! kanipiga kibuti mkesha wa eid

20. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#20
Sep 11, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 592
Trophy Points: 280

wewe si shemeji jamani! Usije ukazima taa jf.

Loading...