Mambo 5 ya kuzingatia kupata raha kamilifu faragha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo 5 ya kuzingatia kupata raha kamilifu faragha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MziziMkavu, Jun 13, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280  [​IMG]
  Hivi leo si ajabu kumsikia mwanamke akikueleza kuwa amedumu kwenye ndoa/uhusiano miaka kenda, lakini hajawahi kufika kwenye kilele cha huba, anatamani kumsaliti mwenzi wake ili kupata raha anayosimuliwa na rafikize; wanaume nao wanajitahidi kutafuta mbinu zakuwatosheleza wenza wao lakini mambo yanakuwa ndivyo sivyo, kwasababu wengine wanawahi maliza tendo na kushindwa kurudia, wengine hawajua nini wafanye ili waweze kuwapatia raha wenzi wao, na wanawake pia wanashindwa kutambua nini wafanye kuweza kupata hiyo raha kwa wenza wao. Je wewe ni mmoja wapo, je, unataka kutokuwa miongoni mwao? Kama ndivyo tumia muda mchache kujifunza leo kwa kusoma yafuatato…..

  a.Zungumza
  [​IMG]Bila shaka hapa wengi watakauwa wamepeleka mawazo yao kwenye mamabo Fulani ya miguno ya mahaba, lakni hapa naposema zungumza namaanisha kuwa kila mtu huutambua mwili wake na anajua wazi wapi akipapaswa, akilambwa ama akitekenywa kimahaba husisimka mwili na mapigo ya moyo kuanza kwenda mbio kwa raha Fulani anayoipata lakini jambo la kusikitisha wanawake wengi huwa hawawi wazi juu ya sehemu gani hasa huwaamsha hisia zao za mapenzi!

  Hivyo endapo wewe ni mwanamke unataka kufurahia tendo la ndoa hakikisha unatambua sehemu za mwili wako zinazokupa hamasa na kuamsha muhemko wako wa kungonoka, ukishazitambua sasa unapaswa kuhakikisha mwenza wako hakuingilii kimwili bila kucheza vyakutosha na hizo sehemu hadi uone upo tayari kuanza tendo husika.

  Kimsingi wanaume wengi huwa wanapapara ya kuanza kungonoka kwa kuwa kwao kuamsha hisia za mapenzi, huchukua sekunde kadhaa tu yaani yawezekana ile kuingia tu hoteli au kumuona tu binti kajilaza kitandani au amevua nguo, yeye tayari kashaanza pagawa, jamaa kachachamaa kasimama dede.

  Hivyo kwa wale wanaume wasio na subira hujikuta wanamgusa hapa na pale mwanamke kwa [​IMG]dakika moja au mbili bila kuzingatia kama sehemu husika inayoguswa ni ile inayoinua hamasa ya kimwana wake kungonoka au la na kisha huanza moja kwa moja kumwingilia mwenza wake.

  Katika jambo la kustajaabisha mwanaume wa aina hii hata anapogundua kuwa maungo ya mwanamke ni makavu na yamelegea kutokana na kutokuwa tayari kuingiliwa huchukua uamuzi ama wakupata mate kichwa chake au kumwomba mwenza wake amuamu amuuuuuuu (hahahah mambo ya Mzee Yusuph na Jahazi Modern Taarabnu hayooo alamaba alambaaaa amuuuuuhh amuhhhhh) ili aweze kumwingilia mwenza wake!

  Hili ni kosa kubwa sana! Ewe mwanaume kama unatabia hii hakikisha unaacha kwani utajikuta siku zote unashindwa mtosheleza mwenza wako kwasababu, kwanza hatakuwa tayari kuingiliwa hivyo sehemu zake zitakuwa hazijaachia kukupa nafasi yakuchanja mbuga.

  Pili kutokana na hilo, pindi utakapokuwa unamwingilia atakuwa akisikia maumivu badala ya raha! Hii ni kwakuwa unaposukuma uume wako kuingiza ukeni sehemu za nyama za mashavu ya uke itakuwa ikivutwa kuingia ndani, hivyo kumsababishia maumivu kila utakapokuwa unasukuma kuingia ndani na kutoa kwa dakika kadhaa na hapo ndipo akili na fikra zake huamia kwenye maumivu na si raha anayotarajia kuipata.
  Nini mwanaume anatakiwa kufanya ili kuhakikisha anamtosheleza mwenza wake kunaka faragha? Mwanaume anapaswa kuhakikisha mwanamke yuko tayari kuingiliwa na anaweza kujua utayari wa mke kwa kuona masavu ya uke wake na kile kitu kama harage vilivyokaza (d*nd*) pamoja na kuona ute unaoteleza ambao hujitokeza ili kumwezesha mwanume kuingia kilaini kunako majambozi!

  b.Jishughulishe
  Mara nyingi ukiwasikiwa wanaume vijiweni hasa vijana (teenagers) wanasimuliana mambo ya wapenzi wao utasikia ah mtoto simuachi anajua kula koni balaa, kiuno anazungusha usipime yani simuachi maan ahaniishi hamau nikikutana naye, narudi nyavuni mara mbili au tatu bila kupumzika!

  Haya ni maongezi ya vijana lakini katika maongezi haya utajifunza kuwa vijana hawa hufurahia kujishughulisha kwa mwenza wake kunako sita kwa sita hivyo basi kila mmoja anapaswa kuhakikisha anajishugulisha ili kuweza kuyateka mawazo ya mwenza wake yasitoke nje ya kile wanachokifanya muda huo!

  Kwa bahati mbaya, wanawake walio wengi wao wanapokuwa faragha huwaza kumtosheleza mwanume pekee, yaani atakakikisha miguno anampa, anazungusha kiuno chake pembe zote na kubadilisha mirindimo ili kumfurahisha mwenza wake, na hata kukubari kukunywa mikao ambayo badala yakumwezesha kusikia raha humfanya asikie maumivu ambayo huyavumilia ili mwanuame afurahi jambo amabalo si sahihi.

  Jinsi gani mwanamke anapaswa kujishugulisha ili aweze kupata raha yeye binafsi na mwenza wake? Mwanamke unapaswa kutimiza wajibu wako wa kuhakikisha uanmsaidia mwenza wako kukufikisha katika kilele cha raha kwanza kwa kuhakikisha hakukunyi staili ambazo zitakufanya usikie maumivu na pili unapaswa kuhakikisha unamwezesha mwanaume kutambua sehemu zinazokupa raha.

  Aidha, hakikisha unausoma mchezo yani ukiona mwanume anakaribia kufika tamati wakati wewe ndiyo kwanza mzuka haujapanda punguza makeke, mtowe mawazo yake kwenye gemu, kisha bana pumzi zako na kuiachia papo kwa hapo lakini usiiachie kwa muda mrefu kwa kufanya hivi utaweza kuwahi kufika kileleni na kisha ukiona unakaribia mrudishe uwanyani mwenza wako kwa kumpa raha ya ajabu ili nyote mfike kwenye kilele cha raha kamili.

  Kwa upande wa mwanaume katika kujishughulisha ahakikishe kuwa namtomasa kimahaba mwenza wake vilivyo na pindi akiona amegusa seheumu furani kisha mwanamke anaongeza makeke na pumzi kumdadilika ang’angane na sehemu hiyo, kimsingi hapa ni kuhakikisha unatumia muda wa kutosha katika michezo ya mahaba na kisha pindi unapomwingilia angalia usishindwe kujizuia na kugeuka jogoo, yaani dakika moja wazungu hao! Jizuie kwa kuhakikisha unabana pumzi na inapobidi kuzitoa akili kwenye kipute kabisa ili uweze kuchelewa kufika.

  c.Weka hisia chanya juu ya tendo
  [​IMG]Mara nyingi ni vigumu iwe kwa mwanaume ama mwanamke kufika kilele endapo mawazo yake hayatakuwa kwenye tendo husika wanlolifanya wakati huo, hivyo basi kila mmoja anapaswa kuweka hisia, mawazo na fikra zake kwenye tendo linaloendelea wakati huo, mwanamke asiwaze sana kuhusu kuosha vyombo, kuingia jikoni kupika, sijui watoto hawajaoga n.k.

  Si kwa wanawake pekee bali hata wanaume wanapaswa kuhakikisha wanaweka mawazio yao uwanjani isipokuwa kwa mwanaume ambaye hushindwa kujizuia yani yeye akishaanza tu tendo haimchukui dakika moja kashamaliza kazi na kushindwa kurudia tendo.

  Mwanume wa aina hii anapaswa kuhakikisha anaondoa mawazo yake kwenye tendo pindi anapoanza ili aweze kutumia muda mrefu kifuani na hapo baada ya kutumia muda mrefu atajikuta anapata ujasiri ahata wa kurudia tendo pindi anapomaliza kwani mara nyinyi mwanaume hufadhaika pindi anapotumia dakika 2 kumaliza na mwanamke akamuonyesha bado anamuhitaji kifuani.

  Inapotokea hivyo mwanaume huingiwa na hofu ambayo humpeleke ama jogoo kugoma kuwika hata akipepewa ama kuwika kwa shida sana baada ya dakika kadhaa za mapumzika, lakini uwikaji huo ukawa si wa jogoo kamilifu yaani unakuwa walegelege hadi ipepeweeeeeee sana na jogoo mwenyewe huonekana anawika ili mradi tu!

  Hivyo, hisia na mawazo thabiti juu ya kile mnachokifanya ni muhimu ili raha kupeana na hasa kwa mwanamke kwani wanawake walio wengi hisia zao za mapenzi ziko mbali hivyo pindi zikiamka na kukatika ghafla ni kazi tena kuzipandisha na hivyo ili aweze kufika tamati ni lazima mwanamke aweke hisia kali tendoni huku mwanaume ambaye huchelewa kumaliza tendo akifanya hili pia na wakati huohuo mwanaume anayewahi kumaliza tendo akifanya kinyume chake!

  d.Ianzisheni safari
  Pindi safari inapoanza kila moja anapaswa kuhakikisha yuko tayari kwa safari yani kama mwahitaji vitebndea kazi hakikisheni mnavyo kwani mara nyinyi endapo mmoja wenu hatakuwa tayari kuwajibika bila vitendea kazi basi hata mkibishana na hatimaye kuamua kuingia mzigoni bila vitendea kazi hofu hutawala kwa yule ambaye hakuwa tayari na hivyo kumsababishia kushindwa kufurahia tendo husika kwani kama ni mwanmke atakuwa ama anaogopa mimba (wengi huogopa hili kuliko magonjwa mengine) magonjwa ya zinaa na HIV.

  Aidha, kunamchezo watu wanafika hadi kunako na kuanza kulinga kuanzisha safari yani nataka sitaki hii haifai kwani mara nyingi mwanaume akitokwa na hali hii na akiwa kashapitia hatua zote za awali za kumwandaaa mwanamke hujikuta analazimika kumwinda kama simba mwenye njaa anavyowinda swala na hatimaye kumwingilia hii haipendezi!

  Hivyo nachoweza kusema ni kwamba mwanamke kama unataka kufurahia tendo hakikisha huipi nafasi sitaki nataka!

  ONYO KWA FANI WA PORN MOVIES!
  Kuna wachache ambao hupenda kuangalia picha za ngono na kisha kutaka kuimitate kile walichokiona kwenye hizo movies, mara nyingi kile kinachofanywa kwenye hizo blue huwa ni ngumu kutekelezea kwa hali ya kawaida kutokana na ukweli kuwa mara nyingine staili zinazotumiaka huhitaji mtu kuwa mwanasarakasi ili kuwepo na ufanisi.

  Hali huwa mbaya zaidi pindi upande mmoja unapokuwa umeuona hiyo staili husika na kutaka kupractice hiyo staili huku upande wa pili ukiwa haujui lolote kuhusu hiyo staili. Hali hiyo husababisha upande wa pili kuconcetrate zaidi juu ya jinsi gani utaweza kumudu hiyo staili mpya kitendo ambacho humfanya ashindwe kufika tamati!

  Wadau wa blog hii nachotaka kuwaambia wanaoigiza picha za ngoni ni professionals hivyo wanafanya kile wanchofanya kama kazi sasa jiulize una haja kweli ya kuiga kile unachokiona kwenye hiyo mikanda?

  ILI HAYA NILIYOELEZA YAWEZE KUKUINGIA HAKIKISHA UNAIRUDIA RUDIA KUSOMA MAKALA HII! NA USISAHAU KUMFAHAMISHA MWENZAKO JUU YA UWEPO WA MAKALA HII NDANI YA BLOG HII YA JAMII ILI AWEZE KUELIMIKA!MAONI YANAKARIBISHWA!!
   
 2. legima

  legima Member

  #2
  Sep 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  aksante, somo tam na limeeleweka mkuu.
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Big up man
   
 4. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda..thanx kwa somo zuri. :)
   
 5. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Actually nimekusoma, wakola waitu ingawa haujaweka part ya katerelo!
   
 6. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Somo zuri!
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  tuko pamoja mkuu shukrani sana
   
 8. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Makala hii ingeambatana na picha za mfano ingeeleweka zaidi. Lakini any way ngoja nikajaribishe hivyo hivyo.
   
 9. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  safiiiiiiiiii
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Of all... Nimependa couple ya pili hio.... Dah!
   
 11. data

  data JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,507
  Trophy Points: 280
  Hizo "1 9t stand zenu" ndo zawakost.. OWENI..!! Na Mabint OLEWENI... Hapa ishu ni mazoea tu.... Ile kitu ukishaizoea namaanisha k*ma na u*oo.. mtaeeenjooiii.. At first ****...wengi huwa hawajiamin! Ndo zaja hzo problems..
   
 12. data

  data JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,507
  Trophy Points: 280
  Hapo namaanisha, 1st f*ck
   
 13. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Thanx a lot for da sex lesson, its a nice one. Big up!
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Nice one thanx
   
 15. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  dah! Jf kuna raha yake bhana!
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Acha tu,unyagoooo,jandoooo,,,,kicheni pati na mbwembwe zooooote zipo,ni moja ya matumizi ya mitandao ya kijamii
  <br />
  <br />
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Eeeeh
  <br />
  <br />
   
 18. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Always makala ndefu huwa si somi
  lakini hii nimesoma neno kwa neno na baadhi ya maeneo nimerudia
  asante sana
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  kumbe tuna ma kungwi na masomo humuhumu ndani!!!!!!!
   
 20. M

  Mutukwao JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii tamu sana bana.inashinda hadi asali...
   
Loading...