Kwanini wanawake hawapendi kusema umri wao?

M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,737
2,000
Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,982
2,000
Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?

kwa sababu hawajui mwenza wao ambaye wangempata anataka mwanamke wa umri gani.
 
Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
1,225
Musimo Jr!!!

Teeh teh teh teh ulichokisema ni kweli sasa sijui huogopa kuzeeka mapema, In fact wana wake wengi au kimaumbile wana paswa kuwa ndani ya ndoa kama watapenda ni kuanzi age ya 22 hadi 30 na awe kaisha tota vichanga vyake 2 au 3. Na mwanamke akisha fuka 30 nio bora asizae ili asizeeke mapema,
Maana Mwanamke alie zaa mapema before 25 akawa na watoto wake 2, na ikishavuka age of 30 kweli huwa ni kijana utadhani ana 25 na ndipo hapo huwa wanona noooooomaaa kutamka miaka yao
 
WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,462
0

Kuna uthibitisho wowote kisayansi?
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,454
2,000
ni siku hizi haya mambo
baada ya kuiga western cultures..

zamani ukimuuliza mwanamke umri walikuwa wanaongeza ili ujione mtoto
kwake....na haikuwa aibu kuwa na umri mkubwa
 
kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,820
1,225
kwa sababu wanaume tunaoa 'girls', na tumewaamisha kwamba usichana unaishia around 30. Sasa tofauti na wavulana, kwa girls wengi NDOA ni alama ya mafanikio.
 
Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,894
1,225
Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?
Wako kibiashara zaidi, wanataka waonekane kitu kipya kila wakati na siyo second hand.
 
Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,383
1,250
mimi huwa nazidisha kabisa ila hawaamini mwanaume ukimwambia umemzidi anaona kama kakibuti sijui
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,982
2,000
Kwahiyo unataka kusema "WANAWAKE WANAISHI KWA AJILI YA WANAUME"

siyo kwamba wanaishi kwa ajili ya wanaume, ila wanawake wanatambua kuwa wanaume ni wachache kulinganisha na wao. mfano sisi kwetu tupo wanaume wanane kati ya watoto 21. kwahiyo wanachofanya ni kuchenza game of chance.
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,152
2,000
sababu wanaume wanauliza sana ...
na wanawake wengi hupendi kuwa na wanaume wenye
umri mkubwa kuliko wao (mkubwa wastani)... sasa kama mwanamke ni mkubwa kuliko wewe
lazima atafichaa .. ..........
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,227
1,500
You are one of them tena kama nikikuweka kona utasema 22 huku unakula nyasi wewe, Lol!aaah! 22 is not an age i can be proud of... sasa nipo katika age ambayo I am most proud... na hata nikionana nawee nitataja wa ukweli... for mpaka nikasimama na wewe ina maana ni mwanaume wa kweli... Na mwanaume wa kweli hataogopa age yangu....lol... alafu uzuri nilianza kuzaa at 18....lol
 
M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,737
2,000
juzi kwenye fb nilikuwa naadhimisha miaka 101 hahaaaaaaa!
Hahahahaaa tena huko kwenye fb ndo ukipitia profile zao utakuta wengi wao wamezaliwa 1905, sijui walipatikana kwenye pro majimaji war?!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom