Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

11. Kumchukia mwenzi wako kiasi cha kutamani afe ili uoe au uolewe na mtu mwingine. 12. Kuota wanawake au wanaume wako uchi,au wewe mwenyewe kujiota ukouchi. 13. Wanandoa kuota mwanaume au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
mimi sikujua kuwa kuna vita kubwa namna hii hadi nilipoisoma hii khabari ya kuwa makanisani wanawake waliolewa wanakazi moja tu kulinda waume zao wasirubuniwe na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama ulikuwa hujui, ni kwamba wanawake hupenda kuonewa wivu, lakini kwa kiasi kidogo tu. Lengo lake hasa ni kutaka kujua kama unamjali kwa kiasi gani. Wakati mnapoingia kwenye mghahawa ama kwenye...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Ningependa kutulia na kijiheshimu mpaka kipindi naingia kwenye ndoa ndo nianze "Love making",sioni umuhimu wa kuwa na gf kwa sasa sababu kunakaribisha ufanyaji wa ngono coz sihitaji kiukweli na I...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
nahitaji girl atakayekuwa mke wangu kama tutaivana,,, umri kati ya miaka 20-24.....sichagui kabila dini awe mkristo ama akubali ku change kama c mkristo...awe mrefu kias c mnene wala...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jf naomba ushauri kwani nilikuwa na mahusiano na mrembo wa kichaga nilimpenda nae alinipenda sana sasa niliamua kwenda kumtambulisha kwa wazazi. wazazi wanasema kamwe...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
Biblia inatuambia Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti yaani,Mwanamke ambaye moyo wake ni mtego na tanzi na mikono yake ni kama vifungo; Yeye ampendezaye mungu atamponyoka,bali mwenye...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
1.unaingia kwako room kutoka kazini au masomoni nje ya nchi wakuta hali ka hii room kwako 2. wamkuta mkeo juu ya kifua cha mtu au mumeo juu ya kifua cha mtu 3. ikiwa ww ndio huyo mke...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Natafuta marafiki nitakaokuwa nao kila kukicha kunipa story ili nisahau yafuatayo kichwan mwangu, Umasikini ulikithiri kijijin kwetu, ukosefu wa umeme, barabara na huduma za afya. Kila mwka...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Unafanya kazi ofisi ya selikali, bahati mbaya, mko wengi mno ikatakiwa kwenye ofisi/chumba chako mkawekewa meza mbili zinazotazamana, wewe ni mwanaume na mwingine ni mwanamke au wewe ni mwanamke...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuomba salio kwa wapenzi wao, ajabu ni kwamba huwa hampigi simu bali mmezoea kubeep, tena hata ukitumiwa salio bado utabeep Asubuhi tu umetuma 5,000 Jioni...
1 Reactions
122 Replies
9K Views
Habar zenu! Wan JF Kuna Mambo humu watu wanaleta na hata mtu ukifikiria unasema kweli huyu anahitaji msaada! lakini kuna mambo Mengine huwa najiuliza hvi mtu amekaa kwanza akafikiria jinsi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mwanaume kumpiga mpenzi/mke wake ni kitendo cha udhaifu na sihafiki nacho kabisa....
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Zamani wakati nilipokuwa mtoto, ilikuwa ni aibu kubwa mtu kuambiwa amefumaniwa. Kama ni vijijini, wapiga ngoma wa kijijjini wakiongozwa na Manju wao walitunga nyimbo kuzungumzia jambo hilo...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Tushirikiane kumshauri mtu huyu jamani: Naomba ndugu muniombee niko kwenye majaribu makubwa hadi inafika wakati najisikia sina hata nguvu ya kuomba. Mara kwa mara huwa najiuliza kama kweli Mungu...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana...
0 Reactions
105 Replies
8K Views
Najiuliza ninani mwalimu wangu wa mapenzi jibu sina na simjui!ajabu nakutana na mwanamke najipanga kaama naenda vitani nikikutana naye kwajinsi navyo mshushia misitari hata mimi ninashanga je...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
hili swali linahitaji majibu yenu wana MMU
0 Reactions
61 Replies
16K Views
Wana JF hivi hili suala la kuasili mtoto (nadhani ndicho kiswahili chake? i stand to be corrected) au adoption kwa Kiingereza kwa hapa kwetu hali ikoje? sheria/sera (kama zipo) zinasemaje? Je...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom