Nahitaji mwenza wa Maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mwenza wa Maisha

Discussion in 'Love Connect' started by DJ Imma, Oct 5, 2011.

 1. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nahitaji girl atakayekuwa mke wangu kama tutaivana,,, umri kati ya miaka 20-24.....sichagui kabila dini awe mkristo ama akubali ku change kama c mkristo...awe mrefu kias c mnene wala mwembamba.......awe mcheshi,mvumilivu, na mwenye mapenzi ya kweli. aliye tayari anitafute kwa mail ya emmanuelvitalis@tanzaniamail.com au 0713644485:director:
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  hv Imma,
  Unadhani ni rahisi mtu kujua sifa alizonazo? Tunajitambua kupitia wengine. Wewe fanya mzaha, utaangukia korona. Ninachokushauri kama umekosa mtu wa kumwamini maeneo unayointeract na watu kibao, mtafute shangazi yako, mwambie unatafuta mke, naye atakutafutia atakayekufaa
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yani JF ss kumeingiliwa .....
   
 4. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ndoto zipo za aina nyingi.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tumekusikia mkuu, nikisikia kuna msichana yuko tayari nitakuwa wa kwanza kukuPM. Hujasema elimu yake unayotaka, kabila lako hujasema na ile maneno asije lala njaa mwaka mzima.
   
 6. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sichagui elimu kaka......me nahitaji real love tu but awe ni mrembo kiaina na uhakika wa kula, kunywa na kuvaa ninao 100% mengne ni majaaliwa ya mola na kutegemea na ushauri na ushirikiano wa huyo mpenz nitaye pata,,,,,
   
 7. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nimekusoma bt ata nikimpata leo kutoka kwa mzazi wangu lazima mimchunguze c kukurupuka.......ni the same akinitafutia mtu yoyote au nikitokea ku mt nae mwenyewe bt kumbuka c wote huwa tunakuwa na muda ama kukutana na watu tofauti....me am serious about this, bt nimependa ushauri wako pia..
   
 8. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kumeingliwa mimi kutafuta girl jamani???
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Awe mvumilivu wa nini?
   
 10. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  uvumilivu wa maisha kama yata change ama uvumilivu wa kitu chochote kinachohusu love,,,kwa mfano akinihitaji muda wa kazi awe mvumilivu mpaka nitoke officeni....hope nimeeleweka
   
 11. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kuivana maana nn??!
   
 12. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuivana ni kama kuendana... ku match kwa kidhungu....mambo kushabiiana,,
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kwaheri,
   
 14. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  karibu tena
   
Loading...