Ingekua ww ungefanyaje hapo

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
640

1.unaingia kwako room kutoka kazini au masomoni nje ya nchi wakuta hali ka hii room kwako
2. wamkuta mkeo juu ya kifua cha mtu au mumeo juu ya kifua cha mtu
3. ikiwa ww ndio huyo mke ungejiteteaje?
4.ikiwa ww ndio huyo mgoni hapo na mke wa mtu ungefanyaje?
 
Attachments

  • 12.jpg
    12.jpg
    16.3 KB · Views: 99

Mwera

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
964
88
Kuwa mwehu sio lazima uvue nguo hata huu ulioufanya hapa ni upumbavu tosha,ama kweli jf sasa imevamiwa mpk na machizi,mods piga ban huyu mwehu please!
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,291
10,356
.. nisingeanzisha hii thread, ili kuepusha usumbufu.
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
640
.. nisingeanzisha hii thread, ili kuepusha usumbufu.
kama ulivoandika do something ulitakiwa ufikiri kwa upeo wako kua aminata hawezi kuafanya ivi so ...............kabla hujarukia tren kwa mbele mana utachunguliwa na dereva bure
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
640
Kuwa mwehu sio lazima uvue nguo hata huu ulioufanya hapa ni upumbavu tosha,ama kweli jf sasa imevamiwa mpk na machizi,mods piga ban huyu mwehu please!
una bahati sana leo niko na good mood mana...............cjui ningekujibuje hapa ..............ungesonyajeeeeeeeeeeeee
 
Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
180
naomba u-edit orignal message yako tafadhali ili kupunguza usumbufu kwa wengine watakaofungua thread hii.

sorry mnoooooooooooo nimeamkia pabaya leo kuna foto niliiapload hapo ila haikutoka nishaomba msamaha i will never let u down again guys
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,291
10,356
kama ulivoandika do something ulitakiwa ufikiri kwa upeo wako kua aminata hawezi kuafanya ivi so ...............kabla hujarukia tren kwa mbele mana utachunguliwa na dereva bure

Aminata, halikuwa kusudio langu kukufanya uje juu,, pia nilitumia upeo wangu kukueleza kuwa nisingefanya ulichokifanya, bali ningejitahidi ili kuwapunguzia usumbufu wasomaji, kwamba umerekebisha ni jambo zuri, samahani kama maneno yangu yamekukwaza mama.. Mapendo
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom