Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikutana na Binti mmoja pale Mlimani City na kuanzisha naye mahusiano ya kawaida lakini baadaye akawa mpenzi wangu. Lakini baadaye yule binti akanieleza kuwa ameolewa na anaishi na Mume wake...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Mi ni mwanamme, nahitaji msichana awe girlfriend wangu. Awe mtiifu, mwenye nidhamu na anayeishi Kahama.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kituko kimetokea hapa Moshi mitaa ya double road jion hii, askari amemfumania mkewe akiwa na katoto kao kachanga 6 mnths, wakifanya ngono na dereva tax bubu ndani ya gari....! Mwanamke...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Habari gani wanajf? Me nina tatizo na hawa wa2 wa design hii! 2najua usiku ni mda wa kupumzika, mipango ya future kwa wahusika, kupeana uroda whether wa halali au usio wa halali. Ktk hili la uroda...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna familia mbili wake na waume zao walikua marafiki sana kwa bahati mbaya mume wa mke m1 akafariki, yule mke mjane akawa anaendeleza urafiki na kuomba misaada kwa rafiki zake hao na mume wa...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
moved to another jukwaa
1 Reactions
48 Replies
5K Views
nataka kujua ni sifa zipi wanawake wanaangalia kwa mwanaume
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Love is everywhere, in every type of relationship, waiting patiently to be discovered to those who are open to it. 1. Love Is Not Demanding - Giving is at every core of all that Love is. So if...
10 Reactions
70 Replies
5K Views
Huwezi kujua mchango wako mpaka pale taadhira zake (Impact) zinapoonekana. Wana MMU mjue kuwa kuja kwangu humu mmenisaidia sana kuandika Script ya Movie ya ukweli. Michango yenu imeonyesha kwa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
wanajf nilishawahi kupost siku za hapo nyuma kuwa napenda ngono sana.Lakini siku za hivi karibuni hii hali imezidi kuongezeka nina hamu sana ya ngono yani hata nikiangalia watu wanakiss kidogo...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
BAADHI ya wanaume wenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) wanaotumia dawa za kurefusha maisha wamejikuta wakivimba matiti yao na kuwa makubwa kama ya wanawake. Vilevile, wanawake...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwa watu wenye kufuata misimamo fulani ya kiitikadi kufuga midevu ni swala la Sunnha. Lakini mijanaume mingi hadi sehemu nyingine nywele huwa hazinyolewi hadi wapigizane mikelele na wapenzi wao...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike aniPM ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Je unadhani kwenye vurugu za kindoa, fedha haina mchango wake? Kama unadhani hivyo, utakuwa umekosea sana. Hebu soma kuhusiana na utafiti huu uliofanyika kule Marekani. Utafiti uliowahi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nina miaka 26 nina g.f ambaye yuko mbali kwa sasa sijaoa. umbo la wastani kg65, urefu cm164 napenda sana mpira situmii kilevii sipendi kwenda club elimu yangu ya juu... natafuta mrembo wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Which do you think is the most difficult/challenging stage of marriage? First 2 years While raising children After the kids have moved out and gone If none of the above,please give your...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tendo la ndoa linapopewa uzito mkubwa kwenye uhusiano wivu ni lazima utakuwa mkubwa. Mtu akiacha tendo la ndoa na wivu huondoka. Wapenzi ambao hawapendani na kufikia mahali hakuna anayetaka...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wana jamvi, naimani wengi wenu bado mpo kwenye maeneo yenu ya kazi... Kwakifupi mimi ni kijana wakiume miaka kati ya 20-25, nafanya kazi kwenye duka la babaangu ya kuuza spare za magari...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu zanguni wana MMU nawasalimuni salamu za upendo wa dhati kabisa.NAWAPENDA SANA. Jamani hapa mtaani kwetu kuna dada mmoja alikuwa na mpenzi wake wakaachana, lakini siku za jirani kapata katoto...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
ni kweli msichana anapokosa mapenzi ya dhati kutoka kwa boyfriend wake na kuchukua uamuzi wa kuwa na mume wamtu inamsaidia kutulia na kuweza kuenjoy mapenzi?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom