Kenya makanisani walioolewa kazi ni moja tu...................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,913
728,454
mimi sikujua kuwa kuna vita kubwa namna hii hadi nilipoisoma hii khabari ya kuwa makanisani wanawake waliolewa wanakazi moja tu kulinda waume zao wasirubuniwe na spinsters............................hata vyooni huwafuata...........................just in case loitering women wasije kuwadaka............na hata vipigo ni jambo la kawaida ...............................jisomee mwenyewe................

Scramble for men goes to church
 

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,181
7,292
Mkuu hii stori imenifurahisha sana maana aliyokuwa anayaandika mwandishi, utadhani anakaa jirani na mimi...

Hebu ni-paste baadhi ya sentensi zilizonivunja mbavu...

Hizo nilizoweka red zimenifanya nicheke kwa sauti hadi majirani wamenishangaa...

The married women fear that single women are not there (in the church) to date single men, but their very own husbands...

"Husbands are scarce and if you let yours go, you will only have yourself to blame," is the general rule....

A single woman visiting a church toilet shouldn't, therefore, be surprised if several married women follow and monitor her movements until she resumes her seat...

Before, women attending church would dress decently -short or covered hair, long skirts and full-length blouses. Today, they dress as if they are going on a date or to a night club...

They wear mini-skirts, huge, dangling earrings the size of ostrich eggs, nails painted red, spaghetti tops revealing bra-less chests and high heeled shoes with which they tap the church floor noisily as they collect offerings.
They are further alleged to sing extra loudly to catch the Pastor's attention with their fake angelic voices.

Some singles, their body language suggestively sexy and their lips painted a wild red, even approach the Lord's table and partake of the Holy Communion in clothes
that make the pastors' knees wobble.

Not only do they sit carelessly without crossing their legs, but openly expose their thighs to the Pastors at the dais. According to observers, some even wink at the pastors when people have closed their eyes for prayer,
forcing married women to pray with their eyes wide open.

Still, the greatest temptation for pastors are the suggestive dancing styles that would even put Fally Ipupa to shame.

Previous solemn hymns like "Sweet Hour of Prayer", have gone to the dogs, as they do not encourage seductive dancing styles. It is now Ndombolo ya Yesu time


"God cannot solve the polygamy problem in Africa. It is an African problem and God is yet to provide a miracle, a solution to this problem."

 

The dirt paka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
371
65
Hapo paukweli Tanzanian dadaz and kakaz chungeni masweta zenu maana hata wanaume wapo wanaopata vibarua va dizain hizo.
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,913
728,454
unamlinda hivo umekuwa mm yake?

analinda unga.............................wezi wasije kumdokolea...........................akakwama..................
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,913
728,454
Una maana na sisi tuwe bize kuwachunga wake zetu dhidi ya single boyz?!

single sugar moms ndiyo haswa huhangaika na boys...................lakini married women rarely............................................labda jamaa awe kamtelekeza.................lol
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,913
728,454
Mkuu hii stori imenifurahisha sana maana aliyokuwa anayaandika mwandishi, utadhani anakaa jirani na mimi...

Hebu ni-paste baadhi ya sentensi zilizonivunja mbavu...

Hizo nilizoweka red zimenifanya nicheke kwa sauti hadi majirani wamenishangaa...

huko tuendako mambo yanazidi kuwa magumu sana...........................haswa ugumu wa maisha, uzazi usio na mpangilio......n.k yanashirikiana kutufikisha kwenye tamaduniya kunyang'anyana..........................
 

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,558
Nafikiri matatizo yanayowapata wadada wa Kenya yanatokana na sisi wanaume, pengine kutokuwa na misimamo na maumuzi ya dhati, I mean ya pendo la kweli tunapofikia wakati wa kuoa. Kama nimempenda mdada na nimeamua kumuoa kwa upendo wa dhati, kwanini mdada mwingine aweze kuniteka tena kwenye mazingira ya kanisani?
Hii inaonyesha wazi kuwa bado hatujafikia kuwa na maamuzi ya dhati pale tunapoamua kufunga pingu za maisha.

Ushauri, tuwe wakweli na waaminifu pale tunapofikia hatua ya kuamua kufunga ndoa na wenza wetu.

Mungu tusaidie ktk hili,

Amen.
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,913
728,454
Kha! Mie sichungi mtu kama mbuzi bana atajibeba mwenyewe

inabidi umsaidie pale inapobidi............................unajua vidosho wanamkodolea macho...................mchana kweupe..................angalia usipoziba ufa utajenga ukuta..................
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,913
728,454
Nafikiri matatizo yanayowapata wadada wa Kenya yanatokana na sisi wanaume, pengine kutokuwa na misimamo na maumuzi ya dhati, I mean ya pendo la kweli tunapofikia wakati wa kuoa. Kama nimempenda mdada na nimeamua kumuoa kwa upendo wa dhati, kwanini mdada mwingine aweze kuniteka tena kwenye mazingira ya kanisani?
Hii inaonyesha wazi kuwa bado hatujafikia kuwa na maamuzi ya dhati pale tunapoamua kufunga pingu za maisha.

Ushauri, tuwe wakweli na waaminifu pale tunapofikia hatua ya kuamua kufunga ndoa na wenza wetu.

Mungu tusaidie ktk hili,

Amen.

usifikiri anapotoka nje hana upendo wa dhati...........................ila huzingirwa na tamaa za kimwili........................na hivyo anahitaji safari moja motomoto kumbe bila ya kujijua anakuta kanaswa mtegoni...................kutoka anataka lakini uwezo haupo...........
 

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,801
36,872
mi naona ni kama matangazo kuwa mimi ni mke wa fulani, kwani huko kwingine anakokwenda anachungwa na nani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom