Ungekuwa wewe ungefanya nini ??????

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
132
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,914
1,115
Wataalam Wamelala Lakini watakujibu wakiamka, lakini weka mambo hadharani mlifahamiana wapi au ktk mitandao ya kijamii?
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
5,613
We unataka akufanyie ni ndo uamini kuwa mwenzio anakupenda.....jamani? Hebu tuambie rafiki, we wasiwasi wako ni nini eti?
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :

kama hujamwona kwa macho ni noma Mkuu. Anaweza kuwa anasura kama ya Pinda!
 
Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,223
2,902
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
Hijalishi mmekutana wapi, cha msingi fanya mpango mkutane,na muongee mpeane mda wa kufahamiana na ukiona mnaendana na vigezo vya mke unaemtaka wewe vipo basi sema nae manze rasmi safari ya mapenz na km ukaonna hamuendani na vigezo uvitakavyo hana mwambie mapema ili ajue na asiwe na malengo nawe!
 
sawabho

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
5,283
3,099
Namba ya cm yako kaipataje, unafahamu kuwa ni binti na cio Mama wa umri wa Mama yako. Fanya mpango ukutane naye face 2 face halafu utaamua kama uwekeze au upotezee.
 
Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,534
256
Mi naona kama vile wewe ni she....! Then this story is happening on you, so you are trying to evaluate how can you be interpreted by your lover.....! Vinginevyo, story yako haijakamilika, au binti huyo atakuwa anaishi baharini....! Changanya na zako...!
 
Dr anold

Member
Oct 4, 2011
19
0
Wataalam Wamelala Lakini watakujibu wakiamka, lakini weka mambo hadharani mlifahamiana wapi au ktk mitandao ya kijamii?

Hivi kama kweli unampenda kwa nini husimtafute walau umuone kwanza den mengine yatafuata. NA mlijuliana wapi?
 
hayaka

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
474
100
kuwa mwangalifu, haiwezekani kumpenda mtu ambaye hujaona hata picha yake, usijidanganye muonekano wa mtu ni muhimu ktk swala zima la mapenzi. huyo hajakupenda bali anapenda sms zako na sauti yako the same to you.
 
Laigwanan76

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
547
145
kuwa mwangalifu, haiwezekani kumpenda mtu ambaye hujaona hata picha yake, usijidanganye muo
nekano wa mtu ni muhimu ktk swala zima la mapenzi. huyo hajakupenda bali anapenda sms zako na sauti yako the same to you.

Hapa naona mihemuko tu ya ngono.......hamna mapenzi,wote wanafikiri kwa sehemu inapokutana maungio ya miguu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom