Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Jamani hii kitu imekuwa inanisumbua kwa muda sasa ndani ya nyumba! Hivi karibuni nimefunga cable service kutoka kwenye kampuni moja hapa nnapoishi. Binafsi hawa jamaa wana channel nyingi za mpira...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Salamu wanaJF, Mimi ni kijana wakiume, naombeni mnielimishe kuhusu nyota! Mtu akikwambia nyota yako haingai au inamatatizo inamaana gani? Kwa takribani miaka 3 sasa nimekuwa naplani nzuri za...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!
2 Reactions
68 Replies
6K Views
...in this money driven world can love really stand with out cash?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu, natafuta mwanamke wa kuzaa naye watoto wawili wa kiume tu, sababu nitazitoa baadae. ila sitaki tuoane, sitaki tukae pamoja kama mume na mke, kila mmoja akae kivyake.
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba...
14 Reactions
143 Replies
9K Views
hallo wapendwa nawatakia jioni njema na week end njema....
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakika she loves for real....she gave me her love, her trust and everything...she loves me much better, better than i love myself but the problem is i dont love her, inaniuma sana kuona huyu binti...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za leo ndugu zangu kama mnakumbuka kichwa cha habari hapo juu leo nimekutana na wahusika na nimewapa ushauri wenu ila nilitumia njia ya kuchunguza kama ujauzito ni kweli wa rafiki yangu kwa...
0 Reactions
88 Replies
6K Views
Kama imetokea, ni mara chache sana wanaume wanaonunua miili ya wanawake kuzongwa na jamii. Kama ikitokea ni pale tu mwanaume fulani anaposhindwa kujilinda ipasavyo hadi siri yake ya kwenda kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Imefika mahali mwanamke anasema "I'm leaving you" au "Naondoka" na anaweza hata kuanza kufunga virago na hata kukata tiketi. Je ina maana gani? Je mwanamme afanye nini? Je anatingisha kiberiti tu...
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Natafuta marafiki wa kuchat nao huku jf kwani nipo lonely sana huku jf
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wana jamvi, hili linatusumbua sana. Utashangaa wakati wa uchumba na urafiki watu wanakuwa na mapenzi tele, wanakumbatiana na mengine mengi! wanapendana na kuambiana you mean the world to...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Habarini, Rafiki yangu kaniomba ushauri. Anasema wanapokuwa kwenye chakula cha usiku Mumewe hafiki kileleni. Badala yake hutumia masturbation ili kuweza kukidhi haja zake. Ni jambo ambalo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Bila shaka hata wewe umeshawahi kukutana na kauli kama hii kutoka kwa wanaume, wengi wao wakiwa ni wale ambao umri unazidi kusonga lakini wakiwa bado hawajapata wenza wa kuoa na kujenga familia...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Joined JF in 1st of march year 2011...didnt know that you were a member... Friends we became...and now something i feel for you... Could this be true? coz everday i think of you... Yes,its...
0 Reactions
94 Replies
6K Views
This is fact. The more you get used to "kutendwa", the less painful it becomes...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Wanajamvi kwa hili mnanishaurije,kuna girl nilikuwa nafanya naye dating,halafu kweli kama amenipenda,sasa juzi usiku nikiwa skype nilijiweka invisible,sijui alifanyaje kosa akaniadd kwenye skype...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom