Kutoa kichapo

mwanaume kumpiga mpenzi/mke wake ni kitendo cha udhaifu na sihafiki nacho kabisa....
Nakuunga mkono kwa sana tu, wanaume dizain hii ni ubabe,ushamba na kutokujiamin tu ndio kunawasumbua na wengi wao tabia hii wanaendanayo mapaka wanazeeka! ni tabia mbaya sana.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%,ila angalizo ni kwamba na nyie wanawake wa siku hizi ni lazima muwe na sifa na haiba ya kike,...ni jirani yangu mke wake anapenda mabif na kumfokea mumewe mbele za watu(ana tabia za kibabe),..mumewe akimwambia aache na anyamaze_anakuja juu 'ebu nipige kama wewe ni mwanaume'...sasa kwa mazingira hayo unaweza fanya lolote bila kukusudia,...ila tabia ya kupigana ni hovyo sana
 
mhhhhhhhhhhhhhh
zama hizi kweliiiiiiii
ngumi, mateke na makofi juu!!!!!!!!!!
sijuiiiiiiiiiii
 
wachokozi kweli hawaa

Naunga mkono hoja kwa 100%,ila angalizo ni kwamba na nyie wanawake wa siku hizi ni lazima muwe na sifa na haiba ya kike,...ni jirani yangu mke wake anapenda mabif na kumfokea mumewe mbele za watu(ana tabia za kibabe),..mumewe akimwambia aache na anyamaze_anakuja juu 'ebu nipige kama wewe ni mwanaume'...sasa kwa mazingira hayo unaweza fanya lolote bila kukusudia,...ila tabia ya kupigana ni hovyo sana
 
tatizo adabu hamna
heshima ndo kabisaa
halafu uchokozi ndo balaa

Nakuunga mkono kwa sana tu, wanaume dizain hii ni ubabe,ushamba na kutokujiamin tu ndio kunawasumbua na wengi wao tabia hii wanaendanayo mapaka wanazeeka! ni tabia mbaya sana.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%,ila angalizo ni kwamba na nyie wanawake wa siku hizi ni lazima muwe na sifa na haiba ya kike,...ni jirani yangu mke wake anapenda mabif na kumfokea mumewe mbele za watu(ana tabia za kibabe),..mumewe akimwambia aache na anyamaze_anakuja juu 'ebu nipige kama wewe ni mwanaume'...sasa kwa mazingira hayo unaweza fanya lolote bila kukusudia,...ila tabia ya kupigana ni hovyo sana
Ni sawa IGWE ila kuna namna za kueleweshana mambo sio lzm kudundana jamani,amsubiri wakati hana hasira amwonye na kumweleza anachofanya sio kizuri ataelewa tu,na hatakuwa hivyo tena!
 
mwanaume kumpiga mpenzi/mke wake ni kitendo cha udhaifu na sihafiki nacho kabisa....

fafanua bwana kumpa kichapo mpenz/mke wako ni mwanaume kutojiamini pale unapomaanisha kumpiga na pia unaweza kumaanisha kwamba mwanaume anampa kichapo mkewe kama haki ya ndoa asipompa kichapo si atachapwa na houseboy au mlinzi au jirani ndo mana watoto wa mtaa mmoja wanafanana hujiulizi why?
 
domestic violence ni mbaya sana,midume kibao nayo inabondwa na wake zao,sema tu wanafunikia aibu ndo mana hawaendi kushtaki kwa wazazi kama wanawake.
 
Kwanza mwanamme anaempiga mwanamke mie wala simuoni mwanamme,namuona kama mwanamke mwenzangu,sababu mwanamke ni sawa na mama yako sawa na dada yako au mwanao vp umpige mtoto wa mwenzio kama mtumwa, halafu huoni haya usiku unamvua chupi? yani duh mie siwezi yani siku yakupigwa ndio talaka yenyewe hio hio loh.......
 
aiseeeeeeeeeee!
 
Ni sehemu ndogo sana ya wanaume wanaopiga wake zao...! Si huwa inasemwa hapa kuwa ni kabila moja wanaofanya hivyo????
Ila seriously speaking, hii tabia inaila jamii vibaya mno, juzijuzi nilisimuliwa na familia moja kuhusu mchumba wa binti yao ambaye amempiga mara kadhaa na mara 2 kati ya hizo ilikuwa mbaya hadi binti kuzimia!! Ajabu binti bado kang'ang'ania anaendelea naye! Kwa hiyo siyo waume za watu tu...hata wachumba pia wanadundana!!
 
Nakuunga mkono kwa sana tu, wanaume dizain hii ni ubabe,ushamba na kutokujiamin tu ndio kunawasumbua na wengi wao tabia hii wanaendanayo mapaka wanazeeka! ni tabia mbaya sana.

Anaanzaje kunichapa? Nahisi siku hiyo atakumbuka vifo vya nabii wote kwa kuhesabu 1 by 1.
 
Back
Top Bottom