Hivi munampigia nani?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,280
6,679
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuomba salio
kwa wapenzi wao, ajabu ni kwamba huwa hampigi simu
bali mmezoea kubeep, tena hata ukitumiwa salio bado utabeep
Asubuhi tu umetuma 5,000 Jioni anakubeep, bado sijaelewa hapa!
Hivi ninyi ni nani hasa huwa mnapenda kumpigia?
 
Wanaume "mkono wa birika" utawajua tu! Sisi wengine tunatuma 100,000/= kila mwanamke anapoku-beep
E bana we kipato kinaruhusu ndo maana unatuma hiyo kilo
wengine hiyo ndiyo capital yetu. Kwa siku unaingiza 8,000 ukitoa
5,000 Jasho linakutoka.
 
E bana we kipato kinaruhusu ndo maana unatuma hiyo kilo
wengine hiyo ndiyo capital yetu. Kwa siku unaingiza 8,000 ukitoa
5,000 Jasho linakutoka.

Mkuu ukiwa na mwanamke jifunze kutojali matumizi sometime maana hawako cost conscious wao wanajua tuu kuwa lazima utoe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom