Tuna Mda wa Kufikiria kwanzaa?

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,885
5,378
Habar zenu! Wan JF
Kuna Mambo humu watu wanaleta na hata mtu ukifikiria unasema kweli huyu anahitaji msaada! lakini kuna mambo Mengine huwa najiuliza hvi mtu amekaa kwanza akafikiria jinsi ya kulitatua au amefanya uchunguzi kwanza.. Au kwa vile ni member wa Humu,kwa hyo hana mda wa kufikiria Ngoja alitupe JF..

Tuwe na mda kwanza wa kufikiria ndo baadae tuwek..matatz yetu

Ndo mana kuna watu wakitupia thread zao uambulia Matuc mana inaonekan kam hakufikria kwanz.. Nawasilisha.
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
wengi wao visa huwa sio vya kweli hivo huamua tu kuuvaa USHIGONGO na kutuletea humu JF
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
sure! tunakoelekea ni kama yale mambo ya facebook. am eatn, hw r u ma swty ldy na mengine. Natamani kila anayeleta utoto humu ndani basi vidole vyake vipate ukoma.
 

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,885
5,378
sure! tunakoelekea ni kama yale mambo ya facebook. am eatn, hw r u ma swty ldy na mengine. Natamani kila anayeleta utoto humu ndani basi vidole vyake vipate ukoma.

mfano: Kuna Mtu unakuta yupo mkoa fulani ndo Mara ya kwanza kufik mkoa huo.. utashangaa anaanza "Jamani sehem gani nitapata Vich**che".. Ndo lengo la JF kwel?. Kama ndo mgeni kaingia humu atasema ni kwa magreat thnker kweli.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom