Dalili za mapepo mahaba-part 2

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
180
11. Kumchukia mwenzi wako kiasi cha kutamani afe ili uoe au uolewe na mtu mwingine.
12. Kuota wanawake au wanaume wako uchi,au wewe mwenyewe kujiota ukouchi.
13. Wanandoa kuota mwanaume au mwanamke yuko katikati yenu au pembenimwa kitanda chenu wakati mmelala.
14. Mwanaume kukosa nguvu na kushindwa katika tendo la ndoa.
15. Mwanamke kupata maumivu makali sana wakati wa hedhi (maumivu makali ya tumbo)

16. Matatizo ya mfululizo ya magojwa ya kike mfano ya tumbo la uzazi,kuziba mirija ya uzazi.

17. Kuota unabakwa ndotoni.Kuharibu mimba baada ya kuota unafanya tendo la ndoa.

18. Kujutia kuoa / kuolewa bila sababu ya msingi

19. Kukosa hamu / moyo wa kuambatana na mwezi wako.Hujisikii tena kuongea na mwenzi wako wa ndoa unapenda kucheka na wanawake / wanaume wengine kuliko mwenzi wako hizi nidalili za kifungo cha pepo mahaba tafuta msaada wa kufunguliwa haraka upone!.
20. KIla wakati kuwaza kwamba ndoa itavunjika unapotazama miaka miaka mitano ,kumi huoni kudumu kwa ndoa yako hata hapo ulipo unaonakama muujiza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom