Hivi inapotokea mmetofautiana na mkeo na mkarushiana maneno ya hapa na pale ambayo yanapelekea mkeo kuanza kulia,wanaume deep inside your heart huwa mnajisikiaje? Assuming kwamba sio tabia yake...
Habari za mihangaiko wajameni, bila shaka ni nzuri.
hivi jamani mi naomba kuuliza (hii ni kwa baadhi ya wanawake ) utakuta mwanamke kaolewa,ana familia yake tena anaheshimika kwenye jamii...
Hivi mtu anafanya sex kwa sababu anapenda, au ni mgonjwa tu yakurukia opposite sex.
Nilikuwa najiuliza kama inewezekana tuna fooling ourselves kama sex ni mapenzi....Mana akipita demu ana healthy...
Nisingependa nianzie mbali sana bali nieleze tu kwa ufupi na kwa ufasaha.
Nimekuwa na binti mmoja miaka minne niliyempenda sana na hata sasa nampenda sana naamini hata nikimtaja kwa jina sio...
Wajemeni narudi tena jamvini...........watakaonuna au kufurahi kwa raha zao! Nimerudi toka mjini nimekutana na jambo la kusikitisha. Ile natia timu tu huku dodoma-eneo la chang'ombe, nimekuta...
Which baby are you??
( Comment your month! ;]
JANUARY BABY
Pretty/handsome. Loves to dress up. Easily bored. Fussy. Seldom shows emotions. Takes time to recover when hurt. Sensitive...
sio unakaa na mtu mda mrefu,eti unamchunguza....akifa unaanza kuwa na guilty kama huyu mkaka wa Thailand....yeye amekaa na galfriend wake miaka kumi bila kupropose,galfriend wake amepata ajali...
Siku hizi wengi wanaingia kwenye mapenzi kwa sababu ya pesa, maumbo ama sura nzuri. Waoamini mapenzi bila pesa nao wanaongezeka kila siku kutokana na hali halisi hivyo siwezi kuwalaumu japo...
nahitaji mume mwenzenu,mi sijasoma ila mwaka jana nimefa qt na sasa naendelea na masomo ya sekondari mwaka huu nitafanya mtian wa fm 4 ila nafanya kazi kwenye ofisi moja kama muhudumu ni kazi...
Am Marx from Moshi, nna miaka 23; Am taking bachelor in Doctor of Medicine at KCmc..natafuta mchumba kati ya 18-22, awe na elimu kuanzia form 4 na kuendelea, awe mwelewa kidgo na maisha,mwenye...
Nilipokuwa Mzumbe nikipata nondoz yangu ya kwanza nilibahatika kupata na toto moja matata kwel kwel,na bila kuamini mim ndo nilikuw wa kwanza kufungua ukurasa kwa mtoto yule nilikuta wajanja bado...
umewai kuumizwa ktk mapenz? Wachina wamekulea kifaa maalum cha kuepusha tatizo hilo lisitokee tena maumivu proof.ntazid kuwajuza juu ya hili. Endelea kunifuatilia
Ndugu zangu,nawaomba mnisaidie kwani mke wangu mtarajiwa siyo muaminifu kwani anazini hovyo na watu kila anavyoona yeye sijui nifanyeje?
1. yeye anafundisha kwenye shule moja huko Tabora na mimi...
Wakuu katika mazingira ya kutisha mpaka rangi kina mama majumbani amepigwa na mume wa mpakwaji baada ya mume aliyekuwa amepumzika ndani kuspoti mkewe akioshwaa mapaja na miguu ili kupakwa rangi...
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki...
Ni kisa kimetokea kwa kaka mmja jiran yangu..kimetushangaza kwa kweli na huyu kaka kaniomba nimshauri nikaona penye wengi haliharibik jambo..
Ni mwaka wa kumi wameoana na mkewe hawakufunga...
Wana jamvi mimi siyo mwandishi mzuri, wa Story ndefu ila nataka kushea kidogo changamoto/Tatizo nililo nalo na kunisaidia mawazo nini nifanye kwasababu hapa nilipo nimejawa na hasira lakini pia...
Habar zenu wana jf..
Kuna kitu kinantatiza kuna jamaa mmja, ambae ni rafiki yangu tu wa kawaida..sasa amekuwa na tabia ambazo sizipendi naona hata nivunje urafiki wetu..yy anafanya kaz bank ya...
Nilikutana na huyu binti kwa mara ya kwanza ndani ya basi moja maarufu lifanyalo safari zake kati ya Dar na Morogoro. Tulikaa nae siti zilizopakana, na sikuongea nae kwa takribani nusu saa nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.