Kuna thread moja inahusu michango ya harusi imenikumbusha mbali. Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka...
Kwa kuwa hakuna mwenye majibu za moja kwa moja...!
Mim leo nakuja mbele ya wanajamii kuuliza..
Tena kila mtu kwa nafasi aliyonayo ndani ya jamii,yaani unaweza kuwa mzazi,mtoto au KIJANA...
Wakuu, nilitendwa na dada mmoja miaka mitatu iliyopita. Nilipata secondment Nigeria kikazi kwa kama miezi kumi hivi, baada ya kurudi nikamkuta na kitumbo cha miezi 3. Huyu alikuwa mtarajiwa wangu...
"Ukimpenda mume ukamfanya afurahi basi mwisho wa siku familia yote itakuwa na furaha".Kasema bwana mmoja wakati alipoulizwa kwanini ndoa nyingi zinagubikwa na misukosuko!
"Mke anatakiwa kuweka...
Neno vigonela (uwingi) au kigonela (umoja) ni la lugha ya Kihehe na maana yake (jinsi nilivyolielewa mimi) ni kukosa mahitaji fulani kwa muda mrefu..................................
Baada ya...
A MAN hired a prostitute to come to his hotel room - and answered the door to his own daughter.
Titus Ncube, a married father-of-three, collapsed to the floor with shock while his daughter, 20...
wanayasansi toka marekani na Argentina wamefanya utafiti na umeonyesha kuwa Mtandao wa internet kwenye komputa za mkononi"Wirele7 internet" kwenye laptop,Una madhara kwa viungo vya uzazi.
Timu ya...
Sex and the City's Carrie Bradshaw (Sarah Jessica Parker). Photograph: Henry Lamb/BEI / Rex Features
furaha ya bibi ni kuwa na bwana ni ukweli wa kiasilia na wanawake ambao wamepingana nao...
Nimebahatika kuwa karibu na familia moja yenye mke(age 40's)+mme+watoto+wajukuu, mme ni mtu anayesafiri mara kwa mara mikoani. Ukaribu wangu kwao ukapelekea wakiface tatizo wanajaribu kuniomba...
Kama umeweza kuiona siku ya leo ukiwa na afya njema kwa nini usiseme asante kwa Mungu wako?
Kuna watu ambao hawana uhakika wa kuendelea kuishi,yaani wamekata tamaa ya maisha. Lakini wewe...
Heshima yenu Wana JF,
Natambua penye wengi hakiharibiki kitu,mimi nimebahatika kupata elimu ya chuo kikuu na Mungu amejalia nimemaliza degrii ya pili na sasa nafanya kazi.Kipato changu ni cha...
Wapendwa wana jamii,hapa nilipo ni katika dilema,nina mme na watoto.Namshukuru sana Mungu kwa baraka zote alizonijaza,nilikuja kusoma ulaya nimemaliza nikapata kazi na resident permit yenye work...
Nimeoa ninaishi na mke wangu,mama wa mke wangu amekuwa akimshinikiza mke wangu kuivunja ndoa yetu hadi ananipigia cm na kuanza kunifokea kisa eti tuligombana siku moja.Lakini mimi nimekuwa...
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume/wanawake kuwalazimisha wapenzi wao hasa wanapokuwa wanaelekea kuoana ama baada ya kuoana kubadilisha namba zao za simu au kuachana na marafiki wote waliokuwa...
Miaka michache nyuma, nikiwa ndiyo nimemalizia shahada yangu ya pili na kuanza kazi kwenye kampuni moja ya Insurance, nilibahatika kukutana na dada mmoja, mpole na mwenye muonekano wa unyenyekevu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.