WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Mara nyingi hukutana na neno hili..KICHECHE.. likitumika kuwalenga wanawake... sijaweza kuelewa vizuri hasa nini maana yake.
Nijuavyo mimi kicheche ni mnyama wa porini ambaye hula vifaranga kama sijakosea.
Wajuzi wa mambo naomba kufahamishwa nini hasa maana ya kicheche pale linapoelekezwa kwa wanawake?