Wanawake bwana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake bwana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kilema, Dec 2, 2009.

 1. kilema

  kilema Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wanawake viumbe wa ajabu sana. Brother yangu alisoma STATES na aliporudi mwaka 1999 alioa mke kutoka kijijini katika familia fulani masikini. mkewe huyo hakuwa amesoma hivyo kaka yangu alijitahidi kumsomesha hadi akamaliza chuo kikuu mwaka 2008. wkati wote huu maisha yao yalikuwa bomba upendo full full. Baada ya kumaliza shule mama huyu alibahatika kupata kazi kampuni moja ya nje na kila wakati anasafiri kwenda ulaya juu ya hayo mshahara wake ni bomba. Bahati mbaya mume wake alipunguzwa kazi katika shirika fulani mwaka jana na anatafuta kazi. Kwa hiyo bread winner kwa sasa ni mama. Kwa hali hii basi mwanamke amejiona kijogoo mume hasikilizwi tena. na zaidi ya hao ni dharau na kejeli kibao. Wewe mwanamme nimekulea sana, hutaki kutafuta kazi umeridhika sana, na matusi kibao. Tayari amesahau alikotoka. Tuwasaidieje kuokoa ndoa hiyo?
   
 2. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Paukwa pakawa...waache ndoa si yao utaokoa nini hapo? Jamaa akipata kazi wanarudiana utasemaje?
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii inaweza kuwa kweli ila mi naamini sometime ni "inferiority complex" ya mwanamume maana kama alikua nazo sasa zimepotea inawezekana ishu ikawa ndogo yeye akaiukuza kwa sababu hana kazi so anafikiri anafanyiwa makusudi!
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tittle na hayo maelezo hata haviendani. Wanawake wamekukosea nini? kwa nini usiseme "SHEMEJI BWANA" Usiopende ku-GENERALIZE mambo kila wakati.Kuna wanawake waliotulia na ukitaka kutafuta takwimu wanawake wengi ni wavumilivu sana kwa waume zao pindi mambo yanapoenda vibaya kwa waume zao.
  By the way, kwa hali ilivyo mwambie kaka yako awe mvumilivu na ajitahidi kutafuta kazi kwani hiyo ndio aina ya mke aliye nae ni ngumu kumbadilisha tabia wakati huu ana matatizo.Ajaribu kutatua taizo moja kwanza la uchumi na baadae amshughulikie mkewe.
  Zaidi ya yote apige magoti na kumuomba Mungu aliyempa ndoa ndiye mwenye hatima ya ndoa hiyo.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  jogoo wa shamba akiingia mjini kazi kweli kweli jamani huyo mwanamke mbona ana roho mbaya hizo hela zake yeye anafanyia nini...??kwanini anashindwa kumsaidia mmewe katika janga hili
  anadhani kupata kazi ni simpo namna hiyo
  kwa kifupi hana maadili
   
 6. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2009
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inaelekea kuna mahali mtu huko kwenu ulimi wake uliwahi kuteleza kama huu wako hapa na yeye akasikia kuwa katoka katika familia masikini..sasa anafanya malipizi kwa vile kaka yako sasa hana uwezo! Kulikuwa na haja gani ya kutumia neno hilo? Huwa zinaitwa familia zisizo na uwezo.
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mijanamike kama hii ndo inayowaharibiaga wale wenye vipato vya juu na mabread winners- kwani kasahau alikotoka?!
   
 8. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  lakini hapa tusilaaumu mwanamke pekee,je kaka yako pamoja hana kazi but katulia?inawezekana kazi hana,hela hana lakini kutwa kurudi usiku tena kalewa,hapo utamlaumu mwanamke?kuwa makini kakaa kila neno litokalo kinywani mwa mwanamke linamaana,huwezi jua kero anazozipata huyo shemejio,ya chumbani hayo waachie
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Imeandikwa kwenye bible Kaeni kwa akili na wake zenu! vilevile imeandikwa wanawake ni viumbe dhaifu! Mwambie atumie akili mukichwa
   
 10. k

  kipanga mweupe Member

  #10
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani ni ukweli kuwa some of the wanawake akiwa nacho anataka kutawala, yamenikuta mimi pia lakini nilikuwa a bit smart. Niliamua kuwa low profile na kufanya mambo yangu kimya kimya na kufanikiwa kupata kazi with multinational company nje ya nchi (Europe to be specific)

  Mhnnnnnnnnn.....sasa hivi napigiwa simu na kuitwa Darling na respect yote imerudi na pia she also saying she misses me a lot!!!!!! Jamani??????????? Simuelewi.

  Alifikia kuninyanyasa sabau ya nyumba, only sababu tulijenga iko kwenye jina lake.....

  Yaaani nimeamua sasa mimi wanawake ni wa kuchukua kama daladala tu na sitaki kuoa, nimechukua watoto nakaa nao na yeye yuko free kuja kuwaona anytime lakini sitaki kitu kinaitwa mwanamke wa kuoa!!!!!!!!!

  Ni bora style hii na kuwa na amani moyoni kwa mimi kimaoni yangu
   
 11. kilema

  kilema Member

  #11
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  LIZ Hata kama ulimi uliteleza lakini huo si ndio ukweli sasa ndio alipize kwa kumtesa mume? Tena basi Kakangu huyo ni mpole mtaratibu hata harufu ya kilaji haijui. Sasa hivi ameamua kufundisha Sunday school kupooza manyanyaso
   
 12. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  never judge before you get to know the other siide of the story! you might be shocked!
   
 13. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kazi kwelikweli!
   
 14. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  bravo FL1 UMENENA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hii HADITHI NI YA UKWELI?
  Nina shaka.
   
 16. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  huyo mwana mama inabidi akalizwe kiti moto! asiangalie hapa tu. embu assume kesho na keshokutwa baba anapata kazi na mama anapunguzwa itakuwaje? Inabidi abadili tabia yake chafu
   
 17. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2009
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Na hii inatokana na malezi ya mfumo dume (ambao Waafrika wengi tunao), kwamba siku zote mwanaume ndo bread winner wa familia. Hata mie niliathirika sana na hali hii kipindi cha nyuma, ilikuwa mwiko kupokea 'ofa' za mitoko ambazo walipaji ni akina dada, ilikuwa kwamba mlipaji shurti awe mwenye jinsia km yangu ama mie mwenyewe! Lakini nashukuru shule ya gender imenipunguzia woga huo kbs. Hope nikioa nitamheshimu mke km bread winner!
  Wanaume tuamke, tuache woga. Tuamini kwamba wanawake nao wanaweza!
   
 18. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa ujui kuwa ndio tabia za wanawake hawa?
  Ndio maana lazima kujiandaa kisaikolojia kuishi na viumbe hawa otherwise ni pressure tupu ukifa unamuacha anadunda na kuliwa na wanaume wengine. Kamwe mwananmke sio sehemu ya maisha yangu am just taking them because of fulfilling some traditional and body requirements. Kama wanapinga waseme si wako hapa!!!
   
 19. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hata wewe unageneralize namna hii? kwa hiyo unaikana hata bible iliyosema mtakuwa mwili mmoja, utamuacha baba na mama (imagine haikusema kaka wala dada) na kuambatana naye. kama hauko tayari kwa hilo mi nakushauri usio, jiunge tu na kina bluray na julius.
   
 20. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwani mwanamke akifa wewe hubaki unadunga wanawake wengine?

  Kwenye red, i reserve my comments!
   
Loading...