Jaman nimekosa raha ndugu wa baba wanadai eti mama yng mchawi anamloga baba hadi amekuwa mlevi mbwa pia kama anachanganyikiwa wameniita eti wanipe dawa ili wanipe dawa waliyopewa na waganga wao...
Sijajua kama jamvini tumewahi kufikiri swala la pornography na ndoa zetu! Does it help anything? How devastating it is? Maana
hapa kwenye ndoa kuna wa aina tatu.
a) Both mume na mke...
habari wana jamii forums me ni mgen kwenye jamvi hli.mimi ni msichana nna miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili na nina mtoto.tatizo langu mi kwamba nahisi nina shida katika mapenzi kwani kwa mwaka...
Niko mikoa ya kanda ya kaskazini kikazi, nimekutana na dada mmoja ,mumewe ni mtu wa makamo, lakini dada kidogo anaonekana bado damu inamchemka, wana duka kubwa la vyakula hapa mjini.
Kwa ajili ya...
mabinti mabinti mabinti hii ni kutoka kwa wadada wafanyakazi tanzania(wwt)
kunawimbi la vijana especially wa chuo wanapenda kushobokea wadada wanaofanya kazi.inakuwa ni kazi kwako kumlipia...
naomba kujuzwa kama umri au age different ni kigezo muhimu katika maisha ya mahusiano au ndoa and if age matters ni miaka mingapi actually mwanaume na mwanamke wanatakiwa kupishana? what about the...
Nipe sababu 10 kwanini unadhani unataka /unatamani kuishi na mimi for the rest of your life? Why me na sio wengine? Au mjibie mpenzi wako kwa nini yeye?
niliachana najamaa m1 toka 2009 sasa toka juz ananisumbua sana et anadai bado ananipenda minkakataa ila jamaa anakuwa haelewi kiukweli mi simtaki manake alitenda isivo kawaida
Ni mwaka wa pili tangu nioe, ila mwezi wa 11 mwaka jana mke wangu kaanza mauzauza. Anatoka asubuhi kurudi ni saa sita au asubuhi ya siku inayofuyata. Kafanya hivyo kwa muda wa miezi miwili sasa na...
Kachimbe kisima wewe mwenyewe ndugu yangu na unywe maji yako peke yako.
Usishiriki na mwingine,Ni hatari kubwa sana.
Hakika,maji ya kisima cha watu wengi yameingiliwa na mdudu,
ukiwa na kiu...
Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini kama kuna uhusiano kati ya kabila na tabia za mtu. Kuna rafiki yangu ana mpenzi ambaye ni Mpare na wamedumu naye kwa miaka kadhaa sasa. Sasa huyu jamaa...
Bila kuvunja Ibara ya ...... Kanuni na masharti ya JF
AAA = Mara nyingi ni raha ya ukweli
EEE = Mara nyingi ni maumivu ya ukweli
III = Mara nyingi wanajifanyisha, anataka kukuibia
OOO=...
A woman needs love
Just like you do
Don't kid yourself
Into thinking that she don't
She can fool around
Just like do, oh
Unless you give her
All the lovin' she wants
Don't make the mistake
Of...
Kuna kibinti kimoja hapa mtaani kwangu kimesikika kikiapa kuwa lazima kitembee na mvulana mmoja ambaye husifika kwa mabinti kumgombania.....................sababu hazieleweki kwa uwazi...
Mkeo amepata nafasi ya kwenda kusoma, Pale nyumbani mna watoto wawli, mnaamua kuagiza mfanyakazi kutoka kwenu kijijni kuja kuwasaidia kazi, na siku ya kuja mfanyakazi unaenda wewe mwenyewe...
Marriage is a social obligation as well as something two individuals would like to get into after courtship. Although, many single women prefer to avoid marriage, yet marriage continues to be...
Why do women cheat? There are three types of affairs they could be involved in.
The first and biggest is the physical affair where there is sex involved.
Then there is the emotional affair...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.