Ukigundua mumeo "bwabwa" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukigundua mumeo "bwabwa"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzito Kabwela, Dec 1, 2009.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Ningependa nifahamu ni maamuzi gani wenzangu mtachukua iwapo hali hii itawakuta. Dada yangu ameolewa na Mnyarwanda ambaye anakijikampuni chake kinachowapatia senti mbili tatu angalau za kuwafanya wawe ana mahudhurio mazuri toilet.Dada yangu huyu ana shostito wake kipenzi tangu elim ya msingi na yeye ameolewa.

  Lakini kwa bahati mbaya dada yangu amemfuma mumewe REDI HENDEDI akiliwa tigo na mume wa shostito wake. Inavyoelekea Shostito wa sista hajui kama mumewe anawapumulia wanaume wenzie visogoni.

  Ameniomba ushauri ambapo na mimi nauleta hapa kwenu, amwambie shosti wake kuwa shemeji yake ni mke mwenzie?

  Na yeye atimue au afanyeje?

  Msaada tafadhali!
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,785
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  ..anyway, mwenye dhima kubwa hapo ni huyo dadako aliemkuta akipumuliwa, hiyo sio ndoa hata akimdhibiti kwa huyo atakwenda kwa wengine. zamani nilidhani huo ulikuwa mchezo wa kipwani, lol hata wa bara sana wanapummuliana!
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Dec 1, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ukigundua bwabwa , unatafuta bwana Mwingine anakuwa anakutafuna wewe na yeye, hapo itakua ngoma droo, au yuleyule bwana anae mkandamiza unajipendekeza ili awe anawatafuna wote, hapo sawa.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Bila kupindisha hapo, na bila kupoteza muda wa mahakama, HAKUNA NDOA HAPO. hII NI KAMA ITAKUWA IMETHIBITISHWA BILA KUACHA KIVULI CHOCHOTE CHA SHAKA, KWAMBA HUYU BWANA ANA TABIA HIYO.

  Dadako afanye taratibu za Talaka, au kama ndoa yake ni ya Kikristo awahi kwa mchungaji/padiri aeleze nia yake na hatimaye atemane na huyu mpumbavu, ajitafutie bwana mwingine aendelee na maisha!
  Shiit!..Swine....gaaaadem!..Idiot!
   
 5. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Thanks ya kitufe pale juu haitoshi,. Naomba nikandamize nyingine ya maneno. THANKS PJ.
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  i CANT EVEN IMAGINE THAT SCENE!
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Sio bahati mbaya hiyo! kama angalau amemfuma live anasubiri nini? aombe jamaa amuoe na yeye apate radha zote!
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hapo noma sana kwa hiyo akitoka kuvuruga kiny*si anaenda kumwingilia mdada wa watu na kumwachia madudu ya kiny*si kwenye k yake! Hajawahi kuugua magonjwa ya zinaa kweli! Watu wengine balaa! hicho ni full kimeo
   
 9. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hiyo noma babake. Hapo dada chapa mwendo mbaya! Kuna siku huyo mumeo bwabwa atagombana nawe kwa sababu ya kuhisi unamchukulia bwanake! Au unataka kusubiri hadi ugombee nae bash*?
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Itabidi dada yako abwage manyanga hapo hakuna ndoa ..kwanza kutakuwa hakuna maelewana ndani ya nyumba .pia sidhani kama atakuwa na hamu ya kumake love na mmewe kama zamani kichefuchefu
   
Loading...