Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jamvi mimi siyo mwandishi mzuri, wa Story ndefu ila nataka kushea kidogo changamoto/Tatizo nililo nalo na kunisaidia mawazo nini nifanye kwasababu hapa nilipo nimejawa na hasira lakini pia...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Habar zenu wana jf.. Kuna kitu kinantatiza kuna jamaa mmja, ambae ni rafiki yangu tu wa kawaida..sasa amekuwa na tabia ambazo sizipendi naona hata nivunje urafiki wetu..yy anafanya kaz bank ya...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Nilikutana na huyu binti kwa mara ya kwanza ndani ya basi moja maarufu lifanyalo safari zake kati ya Dar na Morogoro. Tulikaa nae siti zilizopakana, na sikuongea nae kwa takribani nusu saa nzima...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Hi wana jf community? Kuna wengi 2mekua 2kisema ooh mapenzi haya chagui, nani alieleta hili neno ameharibu wa2 kweli. Kwasababu halina ukweli wowote. Utamsikia m2 akisema"Mimi siwezi kua na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wapendwa natumai mlikuwa na weekend njema. Naandika kwa niaba ya cousin yangu ambaye tumetokea kuwa ndugu pamoja na marafiki sana. Anahitaji ushauri. Swala hili limemtokea jana na hivi sasa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ladies , what attracts you the most on a man when it comes to physical and facial appearance? . . . I. . . Strong, broad shoulders and a mascular back (from neck, down to the waist)...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe. Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
jamani mimi nikuwa na girlfriend wangu mm naishi dar na yeye anaishi Arusha.Mimi nimemalza chuo UDOM mwaka huu na yeye yupo mwaka wa pili UDOM.Tumeanza mahusiano yetu na mwaka mmoja sasa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Golden Mpoleeee anatisha wake kwa waume. kisa? anajiachia. Mwanamke anapofanya mambo wanaume wanafanya utaitwa wewe mwanaume. hivi kama mm mwanamke kama nimeweza y useme ni mwanaume wakati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
When you've just gone through a breakup, there's a period of adjustment... especially if you've spent great amounts of time with that departed partner. How many of you have experienced this...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi karibuni nilikuwa maeneo ya mozambique, nimetembelea maeneoa kama Aldea, Pemba, Nangadi n.k. Huku kuna wanawake wa aina mbili, Weusi(Wenzetu) na weupe ambao ni Half Cast (Yaani wazuri hao, si...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Habari za weekend! Nilikuwa namind business zangu, baada ya kupata upako kutoka church baada ya mahubiri ya padre mkongoman from Uvira. Nimekula ugali wangu kwa mchuzi na mtindi huku nikisurf chit...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Kumbukeni...............Women Looks Nice from Far BuT aCtUAlLy ThEy ArE fAr fRoM nIce!!!
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Ni karibu wiki tatu zimebakia ifike ile tarehe ambayo watu huambiwa waoneshane upendo(hata kama mlikua mnavurugu inabidi muache siku hiyo)Najua siku hiyo watu hujiandaa kwa mambo mengi,ila jamani...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna dada nimetokea kumpenda mpaka ikanilazimu nimwambie. Ajabu yeye akadai hana hisia juu yangu, anataka tuwe marafiki tu. Kwa miaka miwili sasa wimbo ni ule ule. Anafurahia sana kampani yangu...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
wanajf wenzangu ninapenda watu wanne tofauti,na sasa imefika kipindi nataka nibaki na mmoja tu,nashindwa kuchagua nifanyeje?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba kuwauliza wanaume, nimekuwa nikisikia mara nyingi, eti wanawake wajawazito ni watamu sana. Yaani wanakuwagaa watamu kwenye kuduuu. Kuna ukweli wowote katika hili? Naomba kujuzwa
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Kuna jamaa angu leo kanistajabisha sana,Ana dada wa kazi nyumbani kwake sasa anasema huyo dada wa kazi baada ya kukaa nae kama mwaka 1 sasa amependeza sana yaani kutanuka kila idara ya mwili...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Imeandikwa na Peti Siyame, Mpanda; Tarehe: 21st January 2012 @ 14:50 Imesomwa na watu: 419; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisikia malalamiko mengi juu yandoa zinazovunjika visa niving lakn hili la watoto linashika kasi,je kuna ukweli wowote?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom