Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Napenda kuwafahamisha kwamba kuna raha yake kama wanandoa wakiwa wote wa wili ni wacha Mungu.Jaribuni muone kumcha Mungu na baraka tele zitafunika maisha yenu yote na watoto wenu watabarikiwa kama...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Gianni Versace Akiwa na wanamitindo Maarufu Hayati Princess Diana Na Sir Elton John walimlilia Akiwa na Naomi Campbell na Cindy Crawford Muuaji Andrew Cunanan katika mionekano tofauti...
9 Reactions
32 Replies
8K Views
Ndugu zangu nauliza kwa vile kiukweli sifahamu kwanini ndugu zetu wa kike walio wengi huachia maungo yao kuonekana hadharani? Nazidi kuchanganyikiwa iwapo mwanamke huyo yuko tayari katika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
A friend like you is like no other friend A friend like you is a friend I'm happy to have met A friend like you is a friend I can't scream at or fight with A friend like you is like having no...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
hi to all, ninampenzi wangu tuliachana tukarudiana lakini tangu tumerudiana mpaka leo hajawai kunitamkia nakupenda,nimekumic na maneno mengine mengi kama alivyonitamkia zamani,ila ninacho jiuliza...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbue kidogo mwanaume...
0 Reactions
62 Replies
14K Views
Wana MMU, Wote mnafahamu umuhimu wa first impression especially kwenye ki date. Kipindi nina date date nilikuwa kabla sijatoka lazima nijicheki jicheki najiuliza atanionaje nikivaa hivi? Nauliza...
6 Reactions
74 Replies
8K Views
ni mtoto pekee wakiume katika familia yangu...dada zangu wameolewa... juzi kati bimkubwa ameugua na akaenda kukaa kwa mmoja wa dada zangu,.. nimebaki mm na housegirl tuuuu niko karibu nae...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
MCHANA MWEMA KWENU MNAOENDA KUJIVUA MAGAMBA WIKI HII AKIKISHENI MNAYAVUA YOOTEE BORA MOTO AMA BARIDI KULIKO VUGUVUGUHealthy Fish Pie Recipe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ilikua mwaka 2008 nilipokua mitaa ya nmb posta nikakutana na kimwana wa mwenge na tukajuana kama binadamu mana tulikua wote profassional moja,badae tukawa tunawasiliana na tukazoena.Alinitembelea...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
KWANINI MWANAMUME AKIFA NDUGU WA MWANAMUME WANADAI MALI ZA MTOTO WAO HATA KAMA ANA WATOTO KWA NINI NDUGU WA MWANAMKE HAWANA HAKI YA KUDAI? Mimi ni mwanamke niliyeolewa nimekuwa nikiona matukio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kitu ambacho nimesha-experience, lakini interaction na wanaume wenzangu nimagundua kuwa wengi tupo hivyo... Wanaume hawapendi kuachwa na mwanamke. Hata kama mwanaume yupo na mwanamke na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello people, Kuna mambo mengi sana yanatokea duniani kuhusu wewe na unaye mpenda, na watu wanajaribu kukosoa sehemu unayo penda. Huu ni mmoja wa mifano na mifano iko mingi sana. Mfano wewe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi kwanini mwanaume anapofumaniwa na mkewe au mpenzi wake huomba msamaha na kusamehewa lakini unapomfumania mwanamke na jamaa mwingine hakunaga msamaha? Hapo huwa ndo mwisho wa mapenzi. Kuna...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Natafuta mchumba msichana awe na umri usiozidi miaka 26, elimu yoyote ila asiwe na zaidi ya masters, rangi yoyote, dini yoyote, umbile urefu asizidi ft 5,4", asiwe mnene au mnene aliye tayari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It is horrible. Guys tell your wife, sisters, girlfriends, and girl cousins wash bra before wearing. ALL PLEASE WASH ALL BRAS, UNDERWEAR WHEN YOU BUY BEFORE WEARING THEM. WE DO NOT KNOW WHAT...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Hii ni haki yake au ni udhalilishaji wa kijinsia?
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Hi ni kweli kabisa, Wana JF! Imenitokea na sasa niko njia panda. Ni hivi! Kuna binti mmoja kaajiriwa hapa ofisini. Wakati anaajiriwa nilikuwa sipo karibu. Niliporudi binti wa watu akawa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Niliuona mti unaokuwa kwenye shamba la jirani yangu ukiteseka kwa vumbi, upepo na wanyama pia, nikaupenda na kuuchukua, nikauhamishia shambani kwangu na kuutunza kwa uangalifu. Sasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A man who has never lied to a woman has no respect for her feeling....
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom