Sheria ya Ndoa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya Ndoa!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimey, Dec 2, 2009.

 1. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Salaam!
  Kuna kipengele katika sheria ya ndoa kinachosema kua pindi ndoa inapovunjika Mtoto atakaa kwa mama yake mpaka afikishe miaka saba then baba anaweza kumchukua!! Sasa kuna rafiki yangu mmoja ana experience hii kitu so kwa maoni yake anasema hii sheria inabidi ibadilishwe kwani unakuta mtu unaingia gharama kubwa kumtunza mtoto akiwa kwa mama yake na pili kuna wazazi wengine ndo wanafanya mtoto ka fimbo ya kukukomoa!! Sasa kwa maoni yake anaona kipengele hiki kibadilishe kiweze kusomeke kua "ikiwa kama baba ana uwezo basi aruhusiwe kumchukua mtoto pindi tu amalizapo kunyonya na sio baada ya miaka saba!! Wandugu hapo mnasemaje? naomba maoni!
   
Loading...