Nimetunukiwa penzi

Jamani nimetunukiwa penzi, karibuni kwenye get together nitamtambulisha rasmi kipusa wangu kwa wapwa na mabinamu chini ya uangalizi wa Bwana Nguli na Bwana Fidel80.

Mkuu,
Nimekupata.
Lakini hao waangalizi wako wawe na maadili mazuri.
 
Hongera kwa kutunukiwa penzi Sino!!!!!!!!..................Usinisahau kwenye pat yako
Msisahau kwenda kufundwa
 
Hongera kwa kutunukiwa penzi Sino!!!!!!!!..................Usinisahau kwenye pat yako
Msisahau kwenda kufundwa
Nitakukaribisha Mkuu
Najua utakuja kutoka Mbeya kuwakilisha Wapwa wa huko
SENKS
 
Du hongera sana mkuu,naona unatekeleza ule ushauri wa wapwa kwamba kama unampenda na kumjali utamtambilisha kwa rafiki zako.Natamani ningekuwepo,nikajionea kwa masikio yangu mwenyewe.To be honest umetupa heshima kubwa sana,KWELI JF INAZIDI KUKUA.Oooh God sijakutwangia SENKS,ngoja nikaitwange.
 
Hongera kwa kutunukiwa penzi Sino!!!!!!!!..................Usinisahau kwenye pat yako
Msisahau kwenda kufundwa

mkuu ni SIPO
SISI KWeTU SINO MAAANA YAKE LAAZIZI...UTAMKOSEA HAKI SIPO
HONGERA NDUGU YANGU TUGAIANE HATA KADI BASI MI NAOMBA NIWE MLINZI WA WAPWA ZAKO SIKU HIZI HIIZI IMANI ZA DINI ZIMEKUWA NYINGI SANA VIVYI HIVYI NA WAPWA ZETU INABIDI TUSIWAAMINI SANA
Bwaaaaaaaaaaahaaaaaaaaa.....
 
Du hongera sana mkuu,naona unatekeleza ule ushauri wa wapwa kwamba kama unampenda na kumjali utamtambilisha kwa rafiki zako.Natamani ningekuwepo,nikajionea kwa masikio yangu mwenyewe.To be honest umetupa heshima kubwa sana,KWELI JF INAZIDI KUKUA.Oooh God sijakutwangia SENKS,ngoja nikaitwange.

eti eh? hao wapwa zako i hope hawatataka kupindua serikali... wengine siwaamini ahahhahahh
 
eti eh? hao wapwa zako i hope hawatataka kupindua serikali... wengine siwaamini ahahhahahh

Kamanda mkuu ntahakikisha usalama upo. Si utani, pale nisipokuwa makini vijana wanaweza wakaharibu. Si unajua kuna mmoja ana mpango wa kuoa 2010?
 
mkuu ni SIPO
SISI KWeTU SINO MAAANA YAKE LAAZIZI...UTAMKOSEA HAKI SIPO
HONGERA NDUGU YANGU TUGAIANE HATA KADI BASI MI NAOMBA NIWE MLINZI WA WAPWA ZAKO SIKU HIZI HIIZI IMANI ZA DINI ZIMEKUWA NYINGI SANA VIVYI HIVYI NA WAPWA ZETU INABIDI TUSIWAAMINI SANA
Bwaaaaaaaaaaahaaaaaaaaa.....

Nasikitika kukutaarifu kuwa ombi lako limekataliwa kwa sababu za kiusalama. Jaribu tena baadaye.
 
hongera kwa kutunukliwa penzi mwishoni mwa mwaka hope utaanza kwa mafanikio tuko pamoja bwana sipo
be blessed
 
Shemeji yetu mkali ile mbaya SIPO unajua kuchagua....daaaaaaaaamn u gat test dude
 
Tupeni basi minutes za kikao kilichopita.
Nguli usisahau habari katika picha.Nasikia ilikuwa kama Fiesta!

Hahaha! Unaenda off topic ujue? Subiri fidel atoke kuzimua atakuteremshia newz kamili. Sipo ameomba tuwe wasimamizi wa arusi yao, unaonaje hilo mchumba?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom