Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

A man who has never lied to a woman has no respect for her feeling....
1 Reactions
21 Replies
3K Views
habara wana jf!naomba kujuzwa unapomvalisha bint pete ya uchumba kuna maneno yeyote unayatamka au unamvusha kimyakimya tu?
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Hellow ple namsaka grl wakuchart naye kubadilisha mawazo na kujadil mambo malimbal'l ya kimaisha awe muelewa umri usyozid 23 na awe anaishi dar,ni hyo 2 anichek hapa greysonm84@gmail.com
0 Reactions
23 Replies
3K Views
wakuu naombeni ushauri nilikua na msichana wangu (naweza kumwita mchumba) tulifikia hatua ya kutambulishana kwa wazazi na kupata baraka zote, tulipanga kuanza taratibu za kupeleka mahari na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Kuna taarifa amenipa rafiki yangu mmoja aliyekuwa safarini lindi kwa mwezi na nusu zimenitatiza mno, nikalazimika kuziandika hapa. Jamaa huyu aliendea Lindi ktk wilaya ya lindi vijijini kikazi...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana MMU mie ni mgeni kidogo hapa dar natafuta kanisa la kiroho la kwenda kuabudu, kutokana na tuhuma zinazoendelea ambazo sio nzuri kiukweli kuhusu haya makanisa nimekuwa nikijiuliza...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Ikitokea bahati mbaya sisi tukamaliza wakati ninyi bado mnahitaji,mnalalamika sana na kuleta dharau.Inapotokea upande wa pili wa sarafu,mwanamke kashafika kileleni halafu wewe bado unahitaji ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani kama unahitaji mke siyo gf, naomba nipm binti yangu ameniomba nimtafutie, siyo ameshindwa ila ni utaratibu tulio kubaliana naye uwe mrefu mcheshi unaye penda suti gari lolote jipya...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
No research no right to tell... Kwa wale waliofika Congo na wadadisi wa mambo watakubaliana na mimi kuwa wanawake wanaotunza itikadi na mila za ki Congo, huwa wakioga hawaoshi baiolojia zao ili...
1 Reactions
52 Replies
13K Views
Aina tatu za wanawake ambazo manamume hukolea nazo Mimi sio mtaalamu kwa sana ila leo nitawaletea nini ninakijua nanyi mupate kuchangia Mwanamke mcheshi Mwanamke ambaye hupenda...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
Hebu soma hii barua iliyoandikwa kwa wino wa machozi kutoka kwa mmoja wa akina mama. Barua yenyewe hii hapa aliyoiandika Mama mmoja kwa wino wa machozi yake. Barua ameituma "Mama Makluumah" kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
natafuta mchumba/msichana mwenye sifa hizi: mweupe au maji ya kunde. mwembamba. elimu ya kidato cha sita au chuo. dini yoyote. kabila yoyote. ajue kiswahili. umri ni: 24-30. asiwe na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani natafuta chama au kikundi cha kusaidiana kwenye matatizo au furaha, nasikia kuna vikundi vya aina hii vingine viko kimakabila vingine sio lazima, kwa wote wanaojua naombeni mnijuze pamoja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi inapotokea mmetofautiana na mkeo na mkarushiana maneno ya hapa na pale ambayo yanapelekea mkeo kuanza kulia,wanaume deep inside your heart huwa mnajisikiaje? Assuming kwamba sio tabia yake...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za mihangaiko wajameni, bila shaka ni nzuri. hivi jamani mi naomba kuuliza (hii ni kwa baadhi ya wanawake ) utakuta mwanamke kaolewa,ana familia yake tena anaheshimika kwenye jamii...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Hivi mtu anafanya sex kwa sababu anapenda, au ni mgonjwa tu yakurukia opposite sex. Nilikuwa najiuliza kama inewezekana tuna fooling ourselves kama sex ni mapenzi....Mana akipita demu ana healthy...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
1 Reactions
206 Replies
31K Views
Nisingependa nianzie mbali sana bali nieleze tu kwa ufupi na kwa ufasaha. Nimekuwa na binti mmoja miaka minne niliyempenda sana na hata sasa nampenda sana naamini hata nikimtaja kwa jina sio...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Wajemeni narudi tena jamvini...........watakaonuna au kufurahi kwa raha zao! Nimerudi toka mjini nimekutana na jambo la kusikitisha. Ile natia timu tu huku dodoma-eneo la chang'ombe, nimekuta...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom