Jifunze kusubiri kabla ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jifunze kusubiri kabla ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 28, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,169
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Yawezekana na wewe upo kwenye hiyo list...wapo watu wengi sana
  ambao wanaanza mapenzi kabla ya ndoa..na hii imekuwa system ya kila sehemu....hii tukubali tukatae hii ni dhambi..haurusiwi kuchukua mapungufu ya mwenzio kama alifanya kabla ya ndoa basi na wewe unaamua kuanza kufanya kama yeye...kila moja atabeba dhambi zake...kwa nini ukubali uzinzi wakati umepewa ufahamu wa kukubali mema na mabaya....so far kama unaweza ukona mchumba wako jitahidi uvumilie mpaka muoane hakuna mapenzi mazuri kama mkiwa ndani ya ndoa...pamoja na kwamba ndoa imefanywa kama biashara.....,bado tunawajibika sisi wakubwa walio bado wajitambue kwamba hawaruhusiwi kuanza mapenzi ya ndoa...mwenye maskio na asikie mwenye macho na aone....
  MPENDE MKEO MTARAJIWA;USIFANYE KABLA YA NDOA
   
 2. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ok.
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Nov 28, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Umeongea nukta tupu! Ubarikiwe na BWANA!
   
 4. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Vp kuhusu wewe, hukuwahi kula tunda hadi ulipooa?
  Be blessed!!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,169
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  haurusiwi kuchukua mapungufu ya mwenzio kama alifanya kabla ya ndoa basi na wewe unaamua kuanza kufanya kama yeye...kila moja atabeba dhambi zake

  b blessed 333333333333
   
 6. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kaka swala la dhambi ama sio dhambi ni swala la imani,kama we unaamaini kuwa kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi ni haki yako na unafanya vizuri,lakini niache na mie nisieamini kama unavyoamini wewe nifanye vile ninavyoamini,kwangu mie sio dhambi.na kwa sabau kila mmoja atabeba dhambi zake basi wewe fanya unavyoamini na beba dhambi zako nami niatafanya nnavyoamini ntabeba dhambi zangu.hakuna swala la yeyote kuniruhusu au kutokuniruhusu mie kufanya au kutofanya kitendo cha ndoa.you are right when you say kuwa nna utashi wangu,na kwa sababu hiyo basi mtu anaamua vile kadri ya utashi wake.ishi kulingana na imani yako kaka na usiwahukumu wale wasioishi kutokana na imani yako......
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  mhhh mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia haya
   
 8. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #8
  Nov 29, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Enzi za mwalimu ilikuwa unaanza uchumba halafu ndoa na baada ya ndoa ni honeymoon,siku hizi mambo ya dot com unaanza honeymoon,inakuja uchumba na mwisho ndoa.Sababu hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia hivyo lazima watest TBS yake kabla ya kuingia kwenye ndoa kwani ndoa haina expire date wala reversible process.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  haya Pdidy tutawafundisha watoto na wanaotuzunguka wajifunze kusema no before marriage
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa.Tueleze na hasara za kutosubiri.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,884
  Likes Received: 23,509
  Trophy Points: 280
  Wanted to ask the same!
   
 12. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kwa dunia ya sasa mhhh, mnkisubiri mcjejutia maamuzi baadae....
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa alikuwa anamsubili mchumba kamsomesha Chuo huyo mchumba akapata kazi ya maana sasa huyu binti amemtosa kwa jamaa mpaka navyo ongea hivi jamaa tumempeleka kwa wanasaikolojia kapoteza kabisa network jamaa alianza kumlea binti toka akiwa Form 5 mpaka hivi ame graduate na kupata kazi ya maana sasa binti ameona jamaa hafai kuna kijamaa kichovu kichovu ndo kinamchukua huyo mchumba wa jamaa etu.
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha mpe pole sana
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hizi ndo gharama za kusubili mm naona wanawake wa Kiafrika ni wepesi sana kubadili misimamo yao
   
 16. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hiyo hulka Fidel,mtu kama anayo anayo tu umsubiri usimsubiri... wapo ambao walowakimbia waliowasomesha hata baada ya kuwekwa kimada kabisa tena kwa miaka kadhaa na afadhali hao waliokimbia kabla ya ndoa, wengine wameolewa na walowasomesha au wamesomeshwa na waume zao kabisa na wana cheat
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,884
  Likes Received: 23,509
  Trophy Points: 280
  Siyo wanawake wa kiafrika. Wanawake wote. Hata wanyama wa kike lao moja. Ukisubiri wenzio wanakumegea kilainiiiiii! Hahaha!
   
 18. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [QUOTE=FirstLady1;679034]haya Pdidy tutawafundisha watoto na wanaotuzunguka wajifunze kusema no before marriage[/QUOTE]


  Na wewe FL ulisema no? au ndo ya kuona kibanzi kwa wenzio wakati wewe una boriti?....lol.
   
 19. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2009
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Maisha yameshabadilika, zamani watu walikuwa wanatenda tendo tu kabla ya kuoana, lakini sasa imeshakuwa too much, mpk watiane mimba kabisa ndio wanafunga pingu za maisha.
   
 20. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Options:
  Subiri
  kuwa na mmoja
  tumia kondomu
   
Loading...