NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
Wandugu!
Nimeshawishika kuuliza hili,kwasababu ninaamini kila mtu mwenye mwandani wake(bila kujali ni HE/SHE) naamini kuna kitu kimoja au viwili HUWA HAELEWI ELEWI/KINAMSHANGAZA/KINAMTATIZA/KIPO UNIQUE SAANA kwa level ya upeo wake

STARTING WITH GEOFF ME:i don't understand my love because EVERYTIME WE NEED TO MAKE LOVE I MUST ASK!yeye hajawahi kuniambia kwamba she needs to make love!lakini wakati wa love making SHE IS SO CORPERATIVE!mkimaliza hata atashukuru.kesho yake ofisini lazima atakutext ''...meen,you did it well!''....!

mimi tatizo langu ni kwanini ni lazima mimi nimwambie!kwanini yeye asiseme?na nikimwambia at first lazima atakataa kataa kwa kuzuga!...



NAOMBA WADAU,kila mmoja kwa nafasi yake na mahusiano aliyonayo aseme NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?
 
Mpwa usicheke. Hili linatahitaji tafakuri jadidi.
watu wanaweza ona ni kitu cha kitoto,lakini kuna maana kubwa sana ndani ya hili swali!.....out of which kuna thread tatu ndani zinajitegemea
 
mmm hii thread mbona inachunguza sana..... tumambo twetu... we Geoff hebu kataa kuuliza kwa wiki kaa mbili halafu uone kama memsaph atachukua jukumu!!!
 
mmm hii thread mbona inachunguza sana..... tumambo twetu... we Geoff hebu kataa kuuliza kwa wiki kaa mbili halafu uone kama memsaph atachukua jukumu!!!
ha ha ha!
mama,
nikae wiki mbili wakati hata siku mbili huwa hazipiti?
 
Geoff
user_offline.gif

Geoff Is SERIOUSLY GETTING MARRIED SO SOON,BEING

kwanini unaweka 'seriously' ama bado hujaamini!!!
red_right.png
 
mwenzi wangu hawezi kutumua hizi urinals za wanaume yaani mpaka ajifungie c****i.. sijui ni haya ama???:p
 
mwenzi wangu hawezi kutumua hizi urinals za wanaume yaani mpaka ajifungie c****i.. sijui ni haya ama???:p
ha ha ha ha ha!
nimecheka mpaka nimelia!najiuliza huwa unamfuata kwa nyuma nyuma mkiwa baa?hadi vyoo vya kiume?:D
 
Back
Top Bottom