Umeshapata Chanjo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeshapata Chanjo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NgomaNzito, Nov 30, 2009.

 1. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umeipata hii kali ya huko Mbeya Wazee huko wanajichukulia visichana vidogo vya primary na vimepewa jina ati wanadai kupata chanjo ni kuvimega visichana vidogo.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 60,393
  Likes Received: 39,800
  Trophy Points: 280
  Laana tupu!!
   
 3. M

  Matumaini Member

  #3
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tafakari nzuri kwa kujiandaa na "SIKU YA UKIMWI DUNIANI"....Yaani pamoja na matangazo yote,mahubiri yote na ma-NGO yote bado hao wazee wa Mbeya wanatafuta 'chanjo' kwa watoto wadogo...long way to go against HIV/AIDS
   
Loading...