Siku hizi limekuwa jambo la kawaida watu kuongelea jinsi wanavyo wasaliti wenza wao! Wengine hutoa hata mbinu wanazotumia kutembea na wake/waume au wapenzi wa wenzao! Hivi ukishamaliza kufanya...
Upendo duniani unadhaminiwa sana, kama mnara wa ufarisi wa binadamu. Upendo huimbwa katika nyimbo, huandikwa katika mashairi. Hudhaminiwa katika maandiko makubwa. Huzungumzwa katika mazungumzo ya...
ndugu zangu na marafiki leo nimeona bora nizungumzie juu ya mambo ambayo nakutana nayo niwapo na mwenzi wangu. Mwenzenu ninapokuwa na mpenzi kama kama kawaida yetu sisi wanaume kuomba penzi...
habari zenu our Hubby,our sweetht,our kiss.........
naomba kuuliza,kusaidiwa maana najua huku ndo kimbilio pekee lilibakia kwa ushauri. Hivi mwanaume anaweza kukupenda bila signs yoyote ya...
huwa sielewi mwanamke anapopewa jukumu la kulea mtoto ambaye si wake (namaanisha mama wa kambo) anakua na roho ya tofauti (mbaya)....
ni mara chache unasikia mtoto anaelelewa na mama wa kambo...
Jana nikiwa kaunta ulizuka mjadala kuhusu mdau mwenzetu na ndoa yake. Kuna waliodai kuwa mkewe ana maringo sana na wengine wakidai mume anamdekeza sana. Binafsi sikuchangia kwa kuwa haya maneno...
Watafiti wa chuo kikuu cha Colorado na Texas walifanya utafiti kuhusiana na wanawake kutoka nje ya ndoa zao. Katika utafiti huo wataalamu hao waliwahoji wanawake 4,884 walioolewa kwa mtindo wa...
hi guys... hope mko pouwa! Kuna mjadala tulikuwa tunajadili siku moja. Eti mwanaume akikupelekwa kwake "kumbuka huyu ni single yaani hajaoa.
Ni kwamba kakuheshimu na ni mwaminifu ndo maana yuko...
Mi ni mume wa mtu na watoto wawili. Kuna mdada ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja. Karibu miaka miwili sasa huyu mdada kuna kazi za kiofisi tumekuwa tukishirikiana. yeye yupo kampuni nyingine...
Rafik wa mpenz wangu ananifanyia vituko wala simuelew manake anatuma msg za kmapenz na kuja gheto wakat mpenz wangu hayupo yaan rafk yake. Na akja akimkuta anakuwa hana raha kama awali hata story...
Nazikumbuka vizuri siku kama hizi ,siku ambazo mvua ilikuwa ikinyesha wakati bado niko motto mdogo.Kipindi cha maisha yangu ambapo sikuwa na hofu ya maisha yangu ya baadae,kipindi ambacho...
Leo nimekutana na mzee mwenzangu ambaye naye ni BBC (Born before computers), na katika mambo ambayo tumejadili, ni juu ya malezi kwenye familia. Yeye anasema kuwa hawa vijana wa enzi hizi (BAC...
Assalamu Alaikum
Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa Mama yangu Mzazi, amefariki usiku wa kuamkia leo, na Insha'Allah maziko yatafanyika...
Habari zenu wana jamii?
Mimi ni kijana mtanzania mzalendo-nina kazi ambayo namshukuru Mungu inanifaa. Ninataraji kufunga ndoa mwakani. Nampenda mchumba wangu, ila tatizo nililonalo ni hili : mwaka...
Kuna misemo huwa naisikia sana.
wa kwanza ni kwa baadhi ya wanaume ambao wamewatenda wanawake na baadhi ya wanawake wanapokua kwenye mijada wakisimulia waliyotendwa na wanaume. na mwisho wa siku...
Wana jf, katika professional za watu na mahusiano nimekutana na kikao cha watu wakijadili hiyo mada. Wanasema kuwa wanawake wanaofanya kazi ya uuguzi(manesi) ni rahisi sana kutoka nje ya ndoa zao...
Heshima zenu wana MMU,
Mi kuna jambo huwa linanipa shida sana, Hivi inapotokea unampigia simu mpenzi/mchumba/mume/mke au mtu yeyote ambae unamuheshimu ghafla katikati ya mazungumzo yenu unashangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.