Siku ya akina Mama imepita na sasa siku ya akina Baba inakuja. Tukumbushane mambo mazuri uliyotendewa na mzee that made you such a lady/gentleman that you are today.
Tukumbushane pia nicknames na...
What you think of yourself is reflected
in the way you treat others.
A very effective way to raise your own level of confidence
is by acting positively toward the people around you.
Rudeness...
Walevi wa kazi!
Retirement HomeKama mwanamke una mume ambaye ni mlevi wa kazi jambo la msingi ni kukumbuka kwamba haina haja kuanza kuzozana au kukefyakefya kila usiku akichelewa kirudi, au...
Andrew Bagala Kampala
Police have arrested a student of Kyambogo University in connection with the murder of his girlfriend. Mr Sam Buyinza, a third year Social Works and Social Administration...
Madonna's adopted son David was simply being polite to a stranger - with no idea he was talking to his father.
At their meeting in Malawi on Monday, the three-year-old went on to sit in Yohane...
Kuna tangazo ambalo linalenga kuwaepusha akina dada (hasa wale wenye umri mdogo) na uchu wa akina baba wapenda ngono. Binafsi sina tatizo sana na ujumbe uliomo kwenye matangazo haya, tatizo langu...
Nimesoma katika blog ya The Hill of Wealth eti.....
Mwanamke amaye ni mwepesi kutoa machozi mara nyingi anakuwaga ni mzuri sana lipokuja suala la hisia katika maeneo yote ya maisha hii ina maana...
...mna maoni gani kuhusu kuchorwa tattoo yenye ujumbe kwa 'mupenzi?'
Heres a heart and love tattoo dedicated to a spouse or partner
...kuna makabila ya kibantu yenye mila hii? ...kama...
Do African women still need men?
BBC News Online
BBC NEWS | Have Your Say | Do African women still need men?
Women of today can do anything they want, so where does that leave African men...
Nipo kwenye ndoa kwa miaka miwili sana na tuna mtoto mmoja mdogo. Tangu mwanzo wa ndoa yetu mume wangu amekuwa kama boss vile. Nilipata mimba mara tu baada ya kuolewa na mimba ilikuwa inanichosha...
JF Members,
We all know that there is a lot of publicity regarding the male condom, yet no similar initiatives to promote the female condom which is an important prevention tool for HIV and other...
Mahusiano yanayopelekea kupeana mimba yanaleta uchungu ama furaha kutegemeana na maelewano na makubaliano ya wahusika.Wanawake wengine hudhani kuwa njia ya kumkamata sawasawa mwanaume...
Sekretari Azinyofoa sehemu za siri za bosi wake kwa bahati mbaya
Tuesday, May 12, 2009 4:51 AM
Sekretari mmoja nchini Singapore ameung'ata na kuunyofoa uume wa bosi wake kwa bahati mbaya...
Nina rafiki wa kaka yangu ambaye ana umri wa miaka 45 na ameoa na kubahatika kuwa na watoto wanne,wa kwanza ana miaka 18 kwasasa na wa mwisho ana mitano.Baada ya kupata hao watoto wote kwa pamoja...
MWANAFUNZI mmoja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (Duce), ameuawa kwa kuchomwa kisu mara nne na mwanafunzi mwenzake kwa madai ya wivu wa mapenzi.
Inadaiwa mwanafunzi huyo...
kuna mantiki katika hili? Naona mmoja kasaini kuwa anashukuru Mungu kuwa mwanamke. mi nadhani ni ajali ya kibaiolojia tu kama ilivyo kwa imani ambayo ni matokeo ya kimazingira tu. umeshawahi...
Jamani naombeni msaada wa kisheria na hata ushauri. Nataka kuoa mtoto mmoja wa Kiunguja ila wazazi wake na familia yake haitaki kwasababu mi natoka Bara na pia ngozi yangu nyeusi (huyo mtoto ni...
Jambo linalohuzunisha ni kwamba nusu ya mwanaume na mwanamke wanaoamua kuishi pamoja hushindwa kufikia hii hatua ambayo mateso, maumivu, uchungu na kuvumilia kote huanza kulipa.
Asilimia kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.