wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bi nyakomba, Mar 23, 2012.

 1. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  habari zenu our Hubby,our sweetht,our kiss.........

  naomba kuuliza,kusaidiwa maana najua huku ndo kimbilio pekee lilibakia kwa ushauri. Hivi mwanaume anaweza kukupenda bila signs yoyote ya upendo. Mfano hasemi nakupenda hata cku moja, hana caring yani kukudekeza kdg ujisikie raha, anaongea kwa mkatomkato nk. cha kushangaza unapoamua kutaka kuachana nae analalamika,
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  nyakomba wa kunyumba uymwiki ?monile?

  kadala vangu jovai MBWITU....mwambie mbwitu.....HAKUPEND UYO ILA ANAKUHITAJ KWA SABABU FULANI thats y ukitaka sepa analalama.....................kimbia

  vip uko lizabon,maposen,mwanamonga,litapwasi,mliayoyo?mahenge?lilambo?peramiho?
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wapo wengi wa aina hiyo lakini upendo wake unakuwa wa dhati na wengi wanakuwa busy kwa shughuli za kimaisha yaani hayo yooteee unayoyataka anawezaa kukuonyesha furaha na caring mara moja kwa mwaka na tena siku hiyo lazima kuna kitu cha furaha kimemtokea. Ila kila kitu na upendo anakuwa nao. Wengi huonyesha upendo kwa kwa kuuza sura kumbe mawazo ya moyo wake yapo mbaaliiiii.
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wanyakyusa bhana hawatuliagi kabisa, acha kumdanganya mwenzio aruke ruke huku na huko, ningetegemea umwambie amuulize ana kwa ana huyo mwanaume wake na siyo kumwambia akimbie sasa akimbilie wapi au achovewe kila aendako
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Huyo ndo mzuri mshikilie
   
 6. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Yaelekea huyo bwana ni mwanajeshi wa geshi ra JWT au ra borisi hivyo kazoea saluti, au ni mkurya wa TARIME.
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Vipi mlijuana mwanzo kama hio ndo tabia yake, na wewe lazima unakasoro zako tu.
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mbona unawatania hao jamaa, hujui kuwa wa kilimanjaro wengi wameolewa huko!!!!
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bibie wataka kuliliwa ndio uone raha ee komaa nae kama kweli unampenda au sepa kama humuamini ya kufa kwa kijiba cha roho...
   
 10. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Thanx kibweka for this, it is very useful advc indeed.
   
 11. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hahahahaaaa Rose umenipa raha mboni mwenxioooo
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  NI ukweli mtupu,hata mimi mama Igwe anasema simpendi sababu tu ya eti simuonyeshi hayo,...ila kiukweli nampenda sana tena kwa dhati,.......to cut-a-long story short....inawezekana kwa sana tu,na tupo wanaume wengi tu wa aina hiyo.
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Kimbweka acha kubweka ovyo...hicho sio kinyakyusa mkuu.
   
 14. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mmmmmmh
   
 15. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hapo tu ndo nakupendea kibweka.
   
 16. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ndio fazaa Tumejuana mda, sikatai nami ninamapungufu, maana no body is perfect n am nobody
   
 17. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  duuhh..kweli duniani wawiliwawili...huyo basha wako kama mie vileeee..photocopyyy...MIE NAPENDA ILA KWAKWELI KUJALI WALA SIJUI....NAONA KAMA NAJILAZIMISHA KUIGIZA VIJITABIA AMBAVYO SINA..

  mara ohh maua mara ohooo dinner mara sijui hepibesidei....hayo mie siyawezi bana....NAKUPENDA NIAMINI KAMA HUAMINI SHAURI YAKO mie siwezi kukudanganyadanganya kama mtoto mdogo.
   
 18. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  MAPENZI NI KIKOHOZI

  unaweza kuficha ugonjwa wa kikohozi???????????????

  Kama anakupenda hata Bila kusema utaona vijimambo fulani akikufanyia , hii ni kwa pande zote , ME na /au KE
   
 19. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Najua hakuna mtu perfect duniani, lakini kumbuka kitu wewe na yeye mlipo pendana mwanzo...mbona kulikuwa hakuna matatizo kama hayo, lazima na wewe unaukorefi flani, ndo sababu anakujibu kimkato kato.

  Afu kama hakupendi vipi awe na wewe? kuna kitu flani hapo lazima mkitazame wote wawili, iko sehemu mnakosea wote wawili, wazungu wanakamsemo kanasema hivi;If you are not a part of solution, than you arepartof problem.
  .
   
 20. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  i seeee
   
Loading...