Mahusiano kulingana na aina ya kazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahusiano kulingana na aina ya kazi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kagarara, Mar 21, 2012.

 1. k

  kagarara Senior Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf, katika professional za watu na mahusiano nimekutana na kikao cha watu wakijadili hiyo mada. Wanasema kuwa wanawake wanaofanya kazi ya uuguzi(manesi) ni rahisi sana kutoka nje ya ndoa zao kulingana na nature ya kazi yao. Kuna mama mmoja naye ni nesi kwenye hospitali mojawapo ya mkoa hapa Tanzania alikuwa anawaambia wanakikao hao kuwa katika ile hospitali manesi wote wa kike walioko pale wanafanya kile kitendo kwenye vile vyumba vilivyomo wodini kwa ajili ya kupumzikia. Eti mara nyingi hufanya hvyo usiku. Kwa kweli nilivyosikia hvyo ikabidi niwaletee wadau humu tuijadili kama haya mambo yanatokea kweli au huyu mama alikuwa anawasingizia.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ndo kusema manesi wanaongoza kwa uzinzi?
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Labda alishawahi kufanya yeye, na ndivyo hivyo vyumba vinavyotumika anaongea kwa kua yeye ni mzoefu....
   
 4. k

  kagarara Senior Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana nimeleta kwenu nilichokisikia, hata mimi niliposikia hvyo nikajiuliza hv kumbe hii kada ndo inaongoza kwa uzinzi. Lakini sikupata jibu ndo maana nimekuja kwenu nipate uhakika.
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Si kweli sio wote wako hivyo.
   
 6. k

  kagarara Senior Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yawezekana mkuu, make yy nilivyomwangalia ni mtu mzima, kidogo kwa hyo yawezekana ujanani alikuwa kama hao anaowasema na ndo maana hawakemei.
   
 7. k

  kagarara Senior Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alafu kingine, kwa uzoefu wangu manasi wengi wanaolewa wakiwa wameshakuwa wakubwa wakati kada nyingine kama walimu unakuta order yake ipo kabla hata ya kumaliza chuo.
   
 8. k

  kagarara Senior Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mm nilikuwa naamini hvyo lakini alivyosema manesi wote wa pale na ukizingatia ile ni hospitali ya mkoa niliogopa sana. Sikuchelea kuconclude kwamba ni wote! Make kama ni kwa hospital hii kwa nn siyo nyingine? Mmmh kama ni kweli basi hii kada yakuogopwa sana!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aiseee. .
  Sasa wanafanya na nani? Wanaitisha hawara zao hosp?

  Na Vipi madaktari? Au ndo wana-pair na manesi?
   
 10. k

  kagarara Senior Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna point moja alisema, kwa wale wenye mahawara, akishafika kazini kwenye zile night zao huongea na mlinzi amruhusu hawara yake kwa kumpatia kitu kidogo mlizi. Wapo pia wanaofanya hvyo na madaktari humo humo kwenye vyumba vyao kwa kufanya mpango na manesi wenzao walipo zamu nao.
   
 11. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145

  Mkuu hii mada yako tunaweza kuiunganisha na ile mada ya kufanya kazi za shift usiku (Night) ambazo kimsingi, haziwahusu manesi tu, ila wafanyakazi walio wengi ambao wana ratiba za namna hiyo. Tulishajadili kuwa night shift nyingi huwatega watu, na hata kuwafanya baadhi ya wafanyakazi huzitumia nafasi hizo kufanya mambo ya uzinzi.

  Ningependa kuichambua mada yako kwa mapana, lakini nahisi naweza kuwabore baadhi ya watu; ila niungane na wewe kwa kusema kuwa manesi wanatupiwa lawama zaidi kwa hayo matendo pia kutokana na nature ya kazi ya kuhudumia (kuwashika, kuwachoma sindano, kuwavalisha pampas walio mahututi, kutoa dawa, wound dressing hata zilizo sehemu nyeti) wagonjwa wa jinsi zote na hivyo huenda kisaikolojia kuwafanya washiriki kwenye mahusiano bila woga sana.

  Lakini si manesi tu, pia wapo madaktari, walimu wa shule za msingi (sijui hawa kama nature ya kazi inahusika vipi?), masekretari (sijui wanalazimishwa na mabosi?), wanajeshi (sijui wanabanwa na amri za kijeshi), nk ambao pia wamelalamikiwa na kuhisiwa na jamii kwa kutoka nje ya ndoa kwa kiwango kikubwa zaidi.

  Hivyo kwa sehemu, hoja hii inaweza kuwa na ukweli, ila tabia za individual employees zina sehemu kubwa zaidi ya kutokuwa waaminifu kuliko nature ya kazi wanazofanya.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aiseeeee.
  Sasa hapo ni uchungu wa kulupia gesti au ni mkakati wa kuokoa muda?
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Wewe ni nesi?
   
 14. k

  kagarara Senior Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuna haja ya kuendelea na uchunguzi na ikiwezekana tuje humu na rank ya kada zinazoongoza kwa usaliti kwenye ndoa. Hii nadhani inaweza kuwafanya kubadili tabia make huyu mama kasema kuwa wengi wao hawa manesi wanapotoka vyuo na kupangiwa pale(kwa wale wanaoanza kazi) huwa ni wapole, wakarimu na waaminifu, lakini wakikaa pale kwa kipindi flani ndo mambo huanza kuharibika, na kuanza kuwa wasaliti wa mahusiano yao ya awali. Anasema pia kwamba ukitaka kuamini hilo fuatilia ni ndoa gani ya nesi na mtu wa kada nyingine yenye furaha zaidi ya mikwaruzo.
   
 15. k

  kagarara Senior Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mm nadhani ni kwa sababu ya kuokoa muda, anakuwa na uhuru pale anapotoka nyumbani na kwenda kulala huko hospitalini.
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Enheeeee!!
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unacheat na nanni usiku ukiwa zamu?
   
 18. s

  sawabho JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Ingawa hoja yako inaweza kuwa na ukweli, lakini sio kwa manesi wote. Hatahivyo, kazi za zamu za usiku ukiongeza tabia za baadhi ya watu zinashawishi mambo kama hayo.
   
 19. JS

  JS JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
 20. dorcas1234

  dorcas1234 Senior Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengine wala sio manesi lakini ni wazinzi kwisha kazi.
   
Loading...