mtaani kwetu kuna jibaba linatembea na mtoto wake (binti yake) wa kufikia (kambo). Mama mtu ameenda kushitaki kwa mwenyekiti wa mtaa kuwa mumewe amemdhalilisha. Naleta kwenu wanaJF kwa ushauri na...
wanawake wa jf naomba mjifunze kutoka kwa kajala mchague wa kuolewa nae na mchunguze sio umeona jamaa ana pesa zake wewe from nowhere..
Unaingia mapenzini nae bila kujua hizo hela katoa wapi...
The local news station was interviewing an 80-year-old lady because she had just gotten married for the fourth time.
The interviewer asked her questions about her life, about what it felt like...
Nashkuru wana-jf wote mlionipa mawazo yenu na ushauri wenu mzuri kutokana na tatizo lilokuwa likimsumbua mke wangu, wife alikuwa na jini mahaba ambalo lilimfanya asihisi raha ya tendo la ndoa...
(¯`·._.•In Loving Memory of My Mother™•._.·´¯)
Assalamu Alaikum
Amani iwe nanyi.
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa wote ambao walithubutu kuniandikia email na PM...
Jamani mapenzi ya kweli kwangu si kumtoa out umpendaye tu. Kwangu mie nadhani kama kupendana kwa nini mtoto wa kiume amtoe wa kike tu? Inanipa homa sana ninapomuona mmoja anafanya kila kitu na...
Hapa majuzi nilikutana na mshikaji wangu akiwa hana raha.............kumuuliza nini tatizo..........anadai wamegombana sana na wife.................kisa eti mshikaji alimweleza wife wake kwamba...
Bottle of Wine
(Women may LOVE this one!)
A woman and a man are involved in a car accident on a slipperly, cold Monday morning; it's a bad one. Both of their cars are totally demolished, but...
Mapinduzi ya teknolojia, hasa simu za mkononi kwa kiasi kikubwa yamewezesha urahisi katika mahusiano ya kimapenzi.
Hata hivyo, kwa wanaume wenzangu, inabidi tuwe makini sana tunapotongoza...
Wana JF
Mimi ni member mpya wa hili jukwaa but am interested with advice na michango mbalimbali ya kimawazo inayotolewa kwenye hili jukwaa.
In short kuna binti mmoja nilimpenda na nilimjua kwa...
Kama 'mwanamke akikuambia hana hisia na wewe tena basi anza kufungasha na ujiandee kuondoka'. Hayo yalikuwa ni maneno ya ushauri wa mama wa makamo kwa vijana wanaopitia misukosuko ya mapenzi...
Najuwa tuko wengi tunaoamini utaratibu wa mwanamme kuwa na haki ya kutowa talaka. Mlio kwenye kundi hili nawaombeni ushauri wenu kwa vile mtanielewa nini kinachonisibu.
Mwenzangu, nikimaanisha...
Bwana.Fudenge umekaa na mkeo sebuleni,lakini mara kwa mara amekuwa akisimama kwenda jikoni na kurudi,mara akakuuliza...
Mkeo:"Hivi baba Chanja.."
Wewe:"Unasemaje?"
Mkeo:"Leo asubui ulisema...
Kuna tabia nimeikumbuka wakati naishi nyumbani kwetu(kwa baba na mama).Ilikuwa akija mgeni mama anafanya juu chini apate pesa ya kununua hata mapaja ya kuku na ikiwezekana pilau linapikwa siku...
Nilishusha pumzi na kuinyanyua simu yangu ya mkononi ili niipokee simu hii huku mapigo ya moyo yakienda mbio. Sikutamani kuongea naye kwa muda huu, maana nilijua wazi kuwa sauti yake kwangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.