Misemo hii huwa inanichanganya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misemo hii huwa inanichanganya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kitalolo, Mar 22, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kuna misemo huwa naisikia sana.
  wa kwanza ni kwa baadhi ya wanaume ambao wamewatenda wanawake na baadhi ya wanawake wanapokua kwenye mijada wakisimulia waliyotendwa na wanaume. na mwisho wa siku huwa wanajifariji au kujipa moyo kwa kuambia achana na hao wanaume ndivyo walivyo au wanaume wote baba yao ni mmoja.
  Pili kuna huu msemo kwamba wanawake walimu wao ni vipfu hapa huwa sijajua huwa inakusudiwa nini haswa
  naomba mwenye ujuzi juu ya misemo kuwa ina maana gani haswa na je kama hayo yanayokusudiwa kwenye hii misemo ni ya ukwieli au nimesemo ya kunogesha maongezi?

  Jadili
   
 2. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mi naona zote ni conclusion za wanadebate wavivu kudadavua jitihada nyuma ya matukio (struggles behind events/ causes of events)...sasa ili kuescape kuumiza kichwa zaidi inabidi kuwe na some form of conclusion
   
 3. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mbona kama vile mtihani wa std 7?
   
Loading...