Kudeka na Kuringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kudeka na Kuringa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by CAMARADERIE, Mar 22, 2012.

 1. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Jana nikiwa kaunta ulizuka mjadala kuhusu mdau mwenzetu na ndoa yake. Kuna waliodai kuwa mkewe ana maringo sana na wengine wakidai mume anamdekeza sana. Binafsi sikuchangia kwa kuwa haya maneno yalinichanganya na wanywaji wale hawakunisaidia kuelewa japo sikuwa nimelewa. Nini tofauti ya hizi hali na madhara yake?
   
 2. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,681
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Mi naona maringo ni tabia ya mtu ambayo ni mbaya sana(technically speaking no human being is better than another). Kudekezwa ni mtu kuelekea kwenye maringo na tabia zingine mbovu kwa sababu tu mtu muhimu aliyetakiwa kumkataza na kumuelekeza kwema ameshindwa kuplay hiyo part yake muhimu, halafu mbaya zaidi unakuta anashabikia kuharibika huko...
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watu kazi kutazama ya wengine, mke wa jamaa akiringa, au asiringe inawahusu nini.

  Kadekezwa na mme wake au asidekezwe...ni mke wake sio wenu.

  Afu cha jabu wanaume ndo wanao ongea maneno hayo, yani ajabu siku hizi wanawake wamekuwa hawana maneo kama wanaume, kweli dunia inaenda kwenye speed za mwisho.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hii ya kudeka kuna watu huwa wana mitazamo ya kipumbavu sijapata kuona. Mtu hawamjui lakini wanahitimisha kuwa anadeka.

  Kwanza kudeka ndiyo nini?
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kudekeshwa automatically kunaletwa maringo and not vice versa. I have live evidence on this I can vouch for
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Naomba nifasilie kudeka, tafadhali.
   
 7. M

  MtwaleKaigarula Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simple minds discuss people but great minds discuss issues and events. Shame on you!!
   
 8. salito

  salito JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,366
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  mhhh??kudekezwa ni hali ya kuendekezwa na mtu,kwa kukupa au kukufanyia kila unachotaka hata kama una uwezo wa kufanya au kupata mwenyewe au kina madhara fulani.na mara nyingi anaedeka huwa anaomba tu kufanyiwa na utekelezaji unafuata,na mdekaji huwa huru kufanya atakavyo.
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  And you too..........
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Watu wengine bana.......kama huwezi kuchangia bora kukaa kimya.......hoja ni maana na tofauti kati ya kudeka na kuringa......watu wanajadili mfano uliotumika
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hizo issue na event zimeletwa na nani ..
  Si hao hao watu au??

  Kudekezwa na kuringa ni issue zilizo katika jamii zetu so Shame on you too ..
   
 12. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Marhabaaaaa..........................


  Ashakum si matusi....acha tu tuletewe ile hoja ya huko kwa waingereza

  Mke wa mtu anajiringia zake na wala hajamdharua mtu la hashaaaa
  Anadekezwa na mumewe maashallah na wala hajawa mvivu binti huyu

  Hao wanaume au hata wanawake hapo shida nini???? Hivi wanajua hayo yote ni sehemu tu na ishara kwamba mapenzi na mumewe yapo mujarrab???

  Kuna mwanamke anayenyanyasika na kukumbuka kuringa na kudeka?????? hongera kwa mumewe kwa kujua kazi yake na wanatakiwa wajifunze kutoka kwa huyo jamaa
   
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Hivi kudeka kizungu ni nini?
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Khaaa! Imekujaje tena?..

  Mtoa mada anaomba aambiwe tofauti kati ya kuringa na kudeka tu vile alisikia wenzie wakizungumza mahali.. Kama hujui pita tu mlango uko wazi..
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Right on the money homeboy. The good thing about it is, 9 times out of 10 people's hallucinations and opinions about other people whom they don't even know is not reality.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Spoiled/ spoilt
   
 17. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  If that is the case;

  Kudeka; Kuhitaji kufanyiwa mambo (mind human limits please) ambayo hata wewe mwenyewe kwa uwezo wako unaweza kufanya
  Kuringa;Kujikubali na kujiona wewe ni bora na hii si lazima kujilinganisha na wengine as hapo huzaa kitu inaitwa madhereu
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo mapenzi yaweza kuleta kudeaka au maringo?........Au vyote
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli sijui.

  Ila ninachojua, mimi binafsi napendelea zaidi kupendwa hususan na ndugu wa karibu (baba, mama, watoto) kuliko kuchukiwa.

  Sasa wengine wakiona mtu anapendwa wanahitimisha eti anadekezwa.
   
 20. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Siwezi tafsiri zaidi ya kidhungu, pamper or spoil
   
Loading...