Baada ya tendo la ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya tendo la ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Blackman, Mar 21, 2012.

 1. Blackman

  Blackman JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 724
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  ndugu zangu na marafiki leo nimeona bora nizungumzie juu ya mambo ambayo nakutana nayo niwapo na mwenzi wangu. Mwenzenu ninapokuwa na mpenzi kama kama kawaida yetu sisi wanaume kuomba penzi lakini nimalizapo ku do naye huwa najisikia aibu nakosa neno la kuongea naye wakati mwingine huwa najilaumu hivi kwa nini nafanya haya je wenzangu mnajisikiaje mmalizapo ku do?
   
 2. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha!Welcome to the gentlemen's club!Fumba macho!
  ---Believdat---
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  It's called Post Coital Tristesse (PCT). It is a common 'condition', inatokea kwa wanaume zaidi ila hata wanawake huwatokea. Kuna maelezo mbali mbali kuhusina na hilo, moja ikiwa: you are tense and focussed before sex, you think too much about it and all you want is to have sex for your pleasure. Sasa ukisha pata ulicho taka ndio unakumbuka mambo mengine yote kama mapenzi yako kwa muhusika (or lack thereof), kazi zako ulizo ziacha pending, efforts ulizo invest katika kuhakikisha unapata sex etc. That is what makes you sad. Na ukitoka 'eneo latukio' na kuanza kujishughulisha tena, unahisi sadness (tristesse) inaisha pole pole.
  A solution would be to think about the aftermath of the sexual intercause before it happens. Just plan to go out with her, au panga maongezi before you have sex. Pia don't stop doing anything important just because you don't want to miss the oppportunity of having sex.
  Unaweza kupitia hapa kwa maongezi kuhusi hiyo 'condition' (which is not so much of a condition nadhani):
  Sadness After Sex is a Real Condition
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mimi nikishamaliza hua nahitaji nipewe tena na tena,
  hata nilikwenda kwa Babu nikanywa kikombe hali hiyo inipungukie sasa ndiyo imeongezeka,
  sindwa kusangaa!
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Labda unamkosea mwanamke huyo mnapo fanya sex ndo sababu, kama unampatia vizuri kwenye sex vipi umuonee aibu.
   
 6. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,072
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Kamuone mtaalam wa saikolojia bro!!hiyo hali sio nzuri, sasa ukioa itakuwaje au utamwambia wife atoke nje ukitaka kuvaa?
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Soon itakuwa haisimami, wait.... sex starts from brain,
  meaning ikiwa unamaliza badala ujipongeze na kuendelea na mzigo kwa sana ww unaona aibu tena Mwanaume, this implies uume wako hulala mara moja baada ya sex, soon haitasimama.... Futa haraka hiyo unmatured inferiority complex...
   
 8. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Your explanation cuts across all fields-, it is scientific, psychological and social. Energy spent-scientific, the act itself-psychological, social- expenses incurred in terms of time, monies etc.
   
 9. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye Bold tuko pamoja
   
 10. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi huwa naunganisha bao mbili kwa moja na nikimaliza macho makavu yeye ndo anajificha,chezeyaaa mimi
   
 11. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  ngoja nimuulize husninyo kama kweli au kamba tu!
   
 12. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  La Jeneral:..kiboko
   
 13. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Duh, ww ukiwa na aibu bibie aweje, labda huwa unajisikia vibaya kwamba kinachokuunganisha naye ni ngono zaidi ya hisia zako za ndani. ili kunogesha mnatakiwa kuongea baada ya ku-do, hapo unaweza kujua km anaridhika au la pengine pia unaweza kupata tathmini ya perfomance yako.
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Tena mbona mtoa mada kaichelewesha hii Sredi !
  Yaani ilitakiwa uwe ushamuuliza mwaka jana!
  Mapumziko kwangu labda yuko NASA (Mambo ya Air space) bass
  vinginevyo ni Libeneke tu !
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kumbe ? Basi mie sio kioja !
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Hii ni hali ya kawaida kwa mwanaume kwa bao la kwanza ukianza kutafuta la pili unarudi hali ya kawaida
   
 17. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuuh lakini mshikaji na wewe ni mkali, yaani the first post unauliza ngono hata ukaribisho hutaki. Nadhani majibu sahihi umeshayapata kupitia kwa RR na wengine lakini hodi muhimu.

   
 18. ram

  ram JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Mapenzi yana-run watu jamani

   
 19. P

  Paul mathew JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Du ! Ukimaliza concentration huisha na kama mwanamke kakaa kihara unaweza usirudie kwani mawazo mengine kama madeni, ada za watoto n.k hukujia
   
 20. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kwa jibu hili jina lako linakufaa wewe mwenyewe
   
Loading...