Swali kwa wanaume ila wadada pia mnaruhusiwa kuchangia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wanaume ila wadada pia mnaruhusiwa kuchangia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyakwaratony, Mar 21, 2012.

 1. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hi guys... hope mko pouwa! Kuna mjadala tulikuwa tunajadili siku moja. Eti mwanaume akikupelekwa kwake "kumbuka huyu ni single yaani hajaoa.

  Ni kwamba kakuheshimu na ni mwaminifu ndo maana yuko huru kukupeleka kwake. kwa maelezo yao "wanaume ni kwamba et kakuheshime sana" kama hajakuheshimu angekupeleka lodge.

  Lakini huyo huyo mwanaume hapo home kwake ndo anawaleta wasichana wote anaodate nao, so hiyo ni heshima au dharau????? Me nililipinga sana hili na wala haliwezi kuwa kigezo cha uaminifu.... Je wadau ninyi mnalionaje hasa ninyi mwanaume
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mchinjioni ni popote pale...has nothing to do with hiyo heshima....wewe kama anakutaka kwa starehe atakutumia hivyo hivyo regardless ya kakupeleka guest ama gheto...ama wewe wazungumzia heshima gani
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mhh heshima apimwi kiivo lakin weng wao wansemaivo et ahh yule wa kupelekwa gest ...ahh uyu nampeleka geto...but mi idnt believe t anaweza akakupeleka gest na akakuheshimu na akaupeleka home kumbe anakugusa once na anakumwaga....

  heshima inakuja badayeeeeeeeeeeeee baada ya kukusoma na akajua msimamowako na tabia zako then ndo utampatiket ya yeye kukudharau au kukuheshimu:peep:
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Zinaa ni zinaa tu
  iwe kwenu ,kwa mvulana ,au kwa baba mkwe
  vijana acheni uzinzi
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Hapo ishu ni kugonga tu
  Haijalishi eneo
  Kwani ukifia angani au nyumbani, hoja ni umefia wapi?
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kongosho umejibu kama mwanaume au kama mdada? :)
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Vijana inabidi mkomae akili na fahamu zenu. UJue unafanya maamuzi ya kuingia kwenye chumba cha mkaka na unajivua nguo, umeingia kwa akili zako timamu..........Kama unadhani kwa kufanya unachofanya ndio security ya heshima ujue imekula kwako. Heshima ni kitu kingine, na hicho kitendo ni swala lingine, kwani hata changudua si anaweza kuletwa geto?...Je kama hana hela ya kukupeleka huko lodge....ahangaike wakati geto lipo?

  Ha ha ha au unadhani ndio security ya sijui Ndoa imekula kwako mazima. Dunia ni yako, na chaguo ni lako. Kufanya mapenzi ni uchaguzi, kujibembesha mimba ni uamuzi, KUFUNGA NDOA ni MAAMUZI MAGUMU. Kuheshimiwa ni wewe unavyojenga hiyo heshima.

  Halafu umesema vizuri kwamba yawezekana kila msichana anayemtaka anamleta geto :(
  ha ha ha chezea jinsia ya Upinzani wewe..............

  Tumia akili...................Fikiri kabla ya kutenda.
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Unaweza azima geto la mshikaji mkawa mnakutania pale unajidai wewe ndo mmiliki na unachinjia hapo hapo
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Hata wakiwa wanakutania kwenye pagare ishu ipo pale pale ni kugongana tu
  Hata wakikutania kwenye nyasi ishu ipo pale pale ni kuchinja tu mchepenge
   
 10. LD

  LD JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kumbe huwa mnachinja?
   
 11. k

  kiparah JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Eneo la tukio ni popote inapowezekana ku-do period!
   
 12. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ohoooooo!
   
 13. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Yeah kitu kuingia ndani si ndo kuchinja kwenyewe
   
 14. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nadhani jibu limepatikana. Ila ni kwanini ni mwanaume ndo wa kumpeleka 'kwake' mwanamke na si vinginevyo? Haki sawa niaje? Last time I checked a relationship is a two way traffic!
   
 15. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haha sana tu!
   
 16. LD

  LD JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wadada wengi hawakai peke yao. Na kwa nini nikulete kwangu wakati najua utanizibia riziki? :( Uking'ang'ania nakupeleka ka mshikaji nadanganya hapa kwangu, nakuchinjia hapo. Anayemleta mwenzie si ndio mchinjaji?
   
 17. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  bora umeuliza maana niliweka question mark
   
 18. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ntakuzibia rizki as in ukipata mwanaume ni biashara eh? Na utachinjaje wakati huna 'kisu'?
   
 19. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unapocheza uwanja wa nyumbani una advantage kubwa ya ushindi kuliko uwanja wa ugenini..
   
 20. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,075
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Mwafrika uko juu mkuu,kuchinja ni kuchinja hata kwenye room ya demu unachinjia humohumo.
   
Loading...